kaka usiongee kitu ambacho haukijui.Mwacheni mtoto wa watu apumzike hayo mengine hayana maana kwa sasa...dereva wa gari alikua mwendo kasi na na alikua amekunywa.barabara ina kona kali sana na za ghafla so gar ili mshinda ikadondokea bondeni yani ilibingilika zaid ya mara 7 mpk ikafika huko bondeni,km unayajua mazingira ya lushoto hauto pata shida kunielewa.tembea kaka uijue tanzania sio una ng'ang'ana tu na Mtwara tu....