CHADEMA iliyoisaliti CUF jimbo la Segerea 2015 ndivyo itakavyosalitiwa 2020

Watu mmeshindwa kutoa hoja kumpinga mleta mada mmeishia kumshambulia yeye mwenyewe... Sasa hapo nani ni kihiyo.. ?!
 
ni kihiyo huyo,hajui anachokizungumza pia haamini anachokisimamia...

HIVI MMESAHAU JIMBO LA SEGEREA NI CHAMA GANI KILIWASALITI CUF KUKOSA JIMBO KUKOSEKANA ,

HUYO ALIESALITI YUKO WAPI SASA LEO HII NATAKA NIWAONE WALIKUWA WAKISEMA PROFESA NI MSALITI
 
Unajua watanzania tunashindwa kuwa wakweli na wazalendo katika maisha yetu ya kila siku !!! Unakuta mtu kama Julius Mtatiro aliyeanza kutelezwa kuanzia akiwa mwanafunzi UDSM na uongozi wa chama mpaka akahamia CUF ilipofika uchaguzi wa 2015 kwenye jimbo la segerea akafanyiwa kila aina ya ujuma na mgombea wa chama kilekile CHADEMA Leo anakaa nao meza moja tena ndo genge la marafiki zake na akili yake yote ipo huko!!! Huu siyo utumwa wa siasa jamani kuweni makini BAVICHA
 
Unajua watanzania tunashindwa kuwa wakweli na wazalendo katika maisha yetu ya kila siku !!! Unakuta mtu kama Julius Mtatiro aliyeanza
kutelezwa kuanzia akiwa mwanafunzi UDSM na uongozi
wa chama mpaka akahamia CUF ilipofika uchaguzi wa 2015
kwenye jimbo la segerea
akafanyiwa kila aina ya ujuma na mgombea wa chama kilekile

CHADEMA Leo anakaa nao meza moja tena ndo genge la marafiki zake na akili yake yote ipo
huko!!! Huu siyo utumwa wa siasa jamani kuweni makini BAVICHA

NAshukuru mkuu kwa kuliona hili
 
Kuiunga mkono CDM inahitaji uwe na roho ya paka maana ni ngumu Wananchi kukuelewa!!
 
Back
Top Bottom