CHADEMA ilifanikiwa kuisambaratisha CUF 2010!

CHADEMA ilifanikiwa kuisambaratisha CUF 2010!

Chadema iliyokuwa chama kichanga huku ikipewa ushabiki mkubwa na CCM iliweza kupambana na CUF na kutwaa Kambi Rasmi Upinzani(KUB).

Una ushahidi wa CHADEMA kupewa support na CCM?

Au kwa sababu nyie watoto wa CCM mnapewa support mnadhani wote?

Lengo la CHADEMA sio kutwaa kambi ya Upinzani...Lengo la CHADEMA ni kushika dola

Lengo lenu ni kutwaa kambi ya Upinzani...Naam endeleeni...Ninyi na kaka zenu CCM mtakuwa wapinzani bora
 
Salaam JF !

Hakuna ubishi ya kuwa chama cha Wananchi(CUF) kimekuwa katika upinzani tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi hapo 1992!CUF iliipokonya na kuitwaa Kambi Rasmi ya upinzani(KUB)Kutoka mikononi mwa NCCR-Mageuzi na kuingoza kwa muda wa vipindi viwili.

Chadema iliyokuwa chama kichanga huku ikipewa ushabiki mkubwa na CCM iliweza kupambana na CUF na kutwaa Kambi Rasmi Upinzani(KUB).

Tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyowahi kutwaa KUB,Chadema ilikataa kuvishirikisha vyama vingine na kuviita CCM B!!Kwa muktadha huu inadhihirisha wazi kuwa....."CHADEMA HAIJAWAHI na HAITAMWAMINI MTU YEYOTE KUTOKA CHAMA KINGINE CHA SIASA ISIPOKUWA WAO TU KWANI WANAAMINI WAO TU NDIO CHAMA CHA UPINZANI"Katika kudhihirisha suala la kuua upinzani nchini Chadema ilichukua Makada wengi kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi(Tundu Lissu),CUF(Prof Safari),SLAA(CCM)baada ya kutoswa Ubunge kwenye kura za maoni!!Kwa kadri siku zinavyokwenda inadhihisha WAZI Tanzania haijawahi kupata chama cha Upinzani cha ajabu kama Chadema!!

Umelewa mihogo!! Nenda kajisaidie....ulevi utapungua!
 
Chadema wakati wanawabomoa CUF hawakuitwa mamluki,sasa zamu yai kubomoka wanatapatapa.
Hakika ACT-Wazalendo ni muda wa kuwatumikia watanzania ,chadema tuliwapenda sana lkn wakasema chama ni mali yao na si mali ya umma hivyo tumewaachia chama chao na kujikita chama cha Kizalendo
 
Una ushahidi wa CHADEMA kupewa support na CCM?

Au kwa sababu nyie watoto wa CCM mnapewa support mnadhani wote?

Lengo la CHADEMA sio kutwaa kambi ya Upinzani...Lengo la CHADEMA ni kushika dola

Lengo lenu ni kutwaa kambi ya Upinzani...Naam endeleeni...Ninyi na kaka zenu CCM mtakuwa wapinzani bora
Ndugu Addict wewe umeingia Chadema lini?Hujui ROSTAM AZIZ,SABODO na MKONO ni WAFADHILI Wakubwa wa CHADEMA...
 
Last edited by a moderator:
post za kizuzu. eti kuisambaratisha cuf? chadema iliisambaratisha ccm. hakuna jimbo hata moja la cuf lilipokwa na chadema, chadema walichukua majimbo yaliyokuwa yanamilikiwa na ccm. huu upumbavu wako jitahidi kuuficha. kama una data, niambie majimbo mangapi ya cuf yalichukuliwa na chadema?
 
Chadema wakati wanawabomoa CUF hawakuitwa mamluki,sasa zamu yai kubomoka wanatapatapa.
Hakika ACT-Wazalendo ni muda wa kuwatumikia watanzania ,chadema tuliwapenda sana lkn wakasema chama ni mali yao na si mali ya umma hivyo tumewaachia chama chao na kujikita chama cha Kizalendo

ni kwa namna gani chadema waliibomoa cuf? majimbo mangapi ya cuf yalipokwa na chadema? nimejisahau, wewe mwenzangu ulipwa kwa kushinda mtandaoni na kupost ujinga.
 
Ndugu Addict wewe umeingia Chadema lini?Hujui ROSTAM AZIZ,SABODO na MKONO ni WAFADHILI Wakubwa wa CHADEMA...

nina mashaka na wewe kama act huko wanaweza kukupa hata unyumba kumi maana mweupeee kukichwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom