CHADEMA ilifanikiwa kuisambaratisha CUF 2010!

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,918
Salaam JF !

Hakuna ubishi ya kuwa chama cha Wananchi(CUF) kimekuwa katika upinzani tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi hapo 1992!CUF iliipokonya na kuitwaa Kambi Rasmi ya upinzani(KUB)Kutoka mikononi mwa NCCR-Mageuzi na kuingoza kwa muda wa vipindi viwili.

Chadema iliyokuwa chama kichanga huku ikipewa ushabiki mkubwa na CCM iliweza kupambana na CUF na kutwaa Kambi Rasmi Upinzani(KUB).

Tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyowahi kutwaa KUB,Chadema ilikataa kuvishirikisha vyama vingine na kuviita CCM B!!Kwa muktadha huu inadhihirisha wazi kuwa....."CHADEMA HAIJAWAHI na HAITAMWAMINI MTU YEYOTE KUTOKA CHAMA KINGINE CHA SIASA ISIPOKUWA WAO TU KWANI WANAAMINI WAO TU NDIO CHAMA CHA UPINZANI"

Katika kudhihirisha suala la kuua upinzani nchini Chadema ilichukua Makada wengi kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi(Tundu Lissu),CUF(Prof Safari),SLAA(CCM)baada ya kutoswa Ubunge kwenye kura za maoni!!Kwa kadri siku zinavyokwenda inadhihisha WAZI Tanzania haijawahi kupata chama cha Upinzani cha ajabu kama Chadema!!
 
BAVICHA kama mna matusi naomba....."Assume hujaiona post hii"
 
Salaam JF ! Hakuna ubishi ya kuwa chama cha Wananchi(CUF) kimekuwa katika upinzani tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi hapo 1992!CUF iliipokonya na kuitwaa Kambi Rasmi ya upinzani(KUB)Kutoka mikononi mwa NCCR-Mageuzi na kuingoza kwa muda wa vipindi viwili.Chadema iliyokuwa chama kichanga huku ikipewa ushabiki mkubwa na CCM iliweza kupambana na CUF na kutwaa Kambi Rasmi Upinzani(KUB).Tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyowahi kutwaa KUB,Chadema ilikataa kuvishirikisha vyama vingine na kuviita CCM B!!Kwa muktadha huu inadhihirisha wazi kuwa....."CHADEMA HAIJAWAHI na HAITAMWAMINI MTU YEYOTE KUTOKA CHAMA KINGINE CHA SIASA ISIPOKUWA WAO TU KWANI WANAAMINI WAO TU NDIO CHAMA CHA UPINZANI"Katika kudhihirisha suala la kuua upinzani nchini Chadema ilichukua Makada wengi kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi(Tundu Lissu),CUF(Prof Safari),SLAA(CCM)baada ya kutoswa Ubunge kwenye kura za maoni!!Kwa kadri siku zinavyokwenda inadhihisha WAZI Tanzania haijawahi kupata chama cha Upinzani cha ajabu kama Chadema!!
Duuh aise nenda kalale tu
 
mkuu thread yako kama vile ina kaukweli kwa mbaaaaaaali.
ila subiria matusi kutoka ufipa.

Salaam JF !

Hakuna ubishi ya kuwa chama cha Wananchi(CUF) kimekuwa katika upinzani tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi hapo 1992!CUF iliipokonya na kuitwaa Kambi Rasmi ya upinzani(KUB)Kutoka mikononi mwa NCCR-Mageuzi na kuingoza kwa muda wa vipindi viwili.

Chadema iliyokuwa chama kichanga huku ikipewa ushabiki mkubwa na CCM iliweza kupambana na CUF na kutwaa Kambi Rasmi Upinzani(KUB).

Tofauti na vyama vingine vya upinzani vilivyowahi kutwaa KUB,Chadema ilikataa kuvishirikisha vyama vingine na kuviita CCM B!!Kwa muktadha huu inadhihirisha wazi kuwa....."CHADEMA HAIJAWAHI na HAITAMWAMINI MTU YEYOTE KUTOKA CHAMA KINGINE CHA SIASA ISIPOKUWA WAO TU KWANI WANAAMINI WAO TU NDIO CHAMA CHA UPINZANI"Katika kudhihirisha suala la kuua upinzani nchini Chadema ilichukua Makada wengi kutoka vyama vya NCCR-Mageuzi(Tundu Lissu),CUF(Prof Safari),SLAA(CCM)baada ya kutoswa Ubunge kwenye kura za maoni!!Kwa kadri siku zinavyokwenda inadhihisha WAZI Tanzania haijawahi kupata chama cha Upinzani cha ajabu kama Chadema!!
 
Hawa watu kwa mvua ya matusi hawajambo...(Hata hivyo nimeshajiandaa kipsycholojia)
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Pumba tupu! Haaaaaa! Haaaaaaa!
 
Hawa watu kwa mvua ya matusi hawajambo...(Hata hivyo nimeshajiandaa kipsycholojia)

Baada ya October mtakimbiana hakika, mnadhani chama hujengwa jf? maana kila kukicha mnamwaga pumba zenu hapa.Vipi zile mil 700, zimeshatoka?
 
Back
Top Bottom