CHADEMA, ili kuonesha msimamo Nape na Bashe wapite bila kupingwa 2020!

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
 
..mhh!

..halafu kwenye Uraisi Nape na Bashe wampigie
kampeni mgombea wa CDM, most likely Lissu.

..Bashe aliwahi kusema bungeni kuwa anamkubali TL, kwamba aliwasaidia kudai haki zao ktk masuala ya madini.
 
Huna jina lingine la kuwaita CDM hata kama wataacha kuweka wagombea nchi nzima zaidi hilo la "wanafiki"
 
By mdau hapo juu.

ccm iwapitishe Slaa na Lipumba bila kupingwa tetetetetetete

Swissme
 
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
Wewe pamoja na hao wanafki waliokupa like.
Ccm iwspitishe Lipumba na Slaa bila kupingwa.

Swissme
 
By mdau hapo juu.

ccm iwapitishe Slaa na Lipumba bila kupingwa tetetetetetete

Swissme
CCM wakitaka kukupitisha wanakupitisha tu upingwe usipingwe. Unaona Lipumba pamoja na kupingwa lakini kapitishwa kuwa mwenyekiti wa kafu.
 
Batili asiyetambulika na cuf wabunge wao wote wako kwa sefu na kuna mchezo mbaya sana atakuja kufanyiwa huyo lipumbafool

Ha ha ha akili ndogo hii, mwezi wa tisa unikumbushe nikupe nauli uende Dodoma kushuhudia wabunge wapya wakiapishwa.
 
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
Unapoanzisha uzi jaribu kutafakari kwanza mkuu. Wewe una uhakika kwamba chama cha makinikia kinawahitaji tena hao jamaa au unamaanisha waje chadema? Sidhani kwa chuki za bwana yule kama watarudi lazima kutakuwa na mizengwe fulani
 
walah huyo jaamaa ako anazembea sana...alitakiwa apige mitti haswa...unapata muda sa ngap wa kuja kupoteza humu
 
Back
Top Bottom