CHADEMA, ili kuonesha msimamo Nape na Bashe wapite bila kupingwa 2020!

Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
Ugumu utakuwa kwenye mchujo ndani ya chama cha kijani
 
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.

Nape Nnauye anakumbuka shuka baada ya kutoswa uwaziri ndiyo anapiga Makelele.Huyo Bashe anayesubiria uwaziri wa Nishati.

Madame Mbunge shida unayo pole sana.Chadema itasimamisha Mgombea na itashinda.
 
Binti, kwakuwa huku CCM watapita hivyo na ninyi vizabi zabina msiweke wagombea japo hata mkiweka wagombea mtaangukia pua.
 
Huyu mwanamke sijui alisahau nini huko CHADEMA baada ya kutimuliwa. Akilala akiamka yeye anawaza CHADEMA tu. Wala hana hata habari kuwa ndege ya nchi imekamatwa!
 
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
Umesahau kitu kimoja
Hujasema kuhusu mahasimu wao wanaojaribu kuileta haki chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanachokifanya chadema sasa ni kuangalia mtu mmojammoja, ikifika wakati wa uchaguzi wanaangalia maslahi ya chama chao.
 
Katika siku za karibuni Chadema wamekuwa wakikongwa nyoyo zao na wabunge wa CCM Ndg.Nape Nnauye na Hussein Bashe kwa jinsi wanavyoikosoa serikali. Ili kudumisha dhamira ya kweli katika kuhakikisha ya kwamba watu makini ndio wanaendelea kuwa watetezi wa wananchi, wakati umefika kwa uongozi wa Chadema kutosimamisha wagombea katika majimbo ya Mtama na Nzega mjini la sivyo mtakuwa wanafiki.

Nimeweka hii ili kuweka kumbukumbu sawa.
Waje Chadema
 
Mkuu unasubiriwa pale upanga!
 
Na wewe utagombea jimboni au utagombea vitu maalum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom