chadema ikishinda 2015 Rizone kikwete hama nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chadema ikishinda 2015 Rizone kikwete hama nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 30, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,721
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  naomba niweke wazi,kama kazi tunayofanya ya kuimarisha chama chetu ikizaa matunda 2015 na chadema kushinda namshauri huyu mtoto wa kiswahili rizone aondoke tanzania,&nbsp;<br>huyu jamaa amekuwa akijilimbikizia mali kila kukicha kwa kutumia mgongo wa baba yake,ukosefu wa uwezo wa kutambua alifanyalo kutokana na kiburi cha kuitwa mtoto wa Rais!!!!!!!!!!<br>kama baba yako hakuwa rais ungekuwa wapi leo,kwa kuwa huna heshima kwa watanzania tupo na tutakushughulLIkia kwa mujibu wa hasira za macomdred!
   
 2. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Kuna Riz1,Ngeleja na Vigogo wawili wa VODACOM...wamepania kummlaliza january na dada yake. hawa jamaa waame nchi ccm ikishindwa 2015. january, maadui zako ni hao............. am an insider
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wapii chadema ishinde ndoto za mchana hizo hkn kitu kama hch!!
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,036
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Shiiiiiiiiiiiii Mkuuu Director1, tulia mkuu usiwe na haraka mambo mazuri hujulikana!! Nani asiyetaka hayo yote!! lakini ukianza kusema watashtuka na kuanza kutumia nguvu nyingi kuzuia au kuhalalisha upupu wao.
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,474
  Likes Received: 1,580
  Trophy Points: 280
  Kwa akili zako za kupima kwa kilo,hapo ndio umemaliza kabisa kufikilia.
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,973
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Chadema mtaishia kupiga kelele tu. Mnakaribia expire date, sidhani kama 2015 mtakuwa hai.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,878
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kumbe ndiyo maana mmeanza kuchakachua mchakato wa kupata katiba mpya ili muendelee kwa na katiba itakayoendelea kuwalinda, sawa tutaona.
   
 8. Alwatan

  Alwatan JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbe kuna watu wanahaha kushika nchi ili mlipize kisasi, basi hii ni hasara kubwa sana ya kifikra za kimapinduzi ambazo siku zote nimekua
  nikiaminishwa. Mimi nilidhani kuna mabadiliko ya kimfumo yatakayooondoa kabisa uwezekano wa makosa tuliyonayo kujirudia, na hivyo kuleta
  maendeleo kwa kasi zaidi na uwiano bora zaidi kati wananchi wa maeneo mbalimbali.

  Halafu mkishawashughulikia au wakihama nchi? Maana itachukua miaka 5 mizima kuwamaliza waliotafuna nchi hii?...

  Na wengine wanampigia chapuo January,.. January kumbe naye sikuhizi CHADEMA, nilikua siyajui. Dah, bongo bana!!!
   
 9. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,714
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  tutamfuata kokote duniani! Kama mtoto wa gadafi!
   
 10. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Me naombea ishinde isishinde anzisheni vita, maana wanaccm hapa bongo wanajulikana kwahiyo vita haitakuwa kali sana hata ya Libya ni kubwa. CDM mna nguvu kubwa ila jiamini tu mtakuwa na askari wengi msiotarajia. Kifupi watu tumeichoka sana ccm. Na kwakuwa wana sare zao na wanajulikana hata kwa sura tutatumia siku si chini ya tatu tu. Nawashauri msiwe waoga kama mwaka jana. Hakuna ukombozi ambao sio wa kumwaga damu, damu itamwagika lakini ukombozi utapatkana.
   
Loading...