CHADEMA ikiingia Ikulu, CCM ifutwe

Afisa demokrasia ya kweli haiko hivyo.aliyefanya hayo uliosema ni watu waliopo ndani ya chama na sio chama.tudili na
hao mafisadi,wezi,majangili,wauza unga tukianza na kikwete,mkapa,bazili mramba,karamagi,chenge n.k
 
Kwa utabiri wangu, udhalimu wao kwa watanzania ukianza kuwekwa hadharani, hakuna kiongozi wa ccm hata mmoja atakayebaki katika chama. Wote watajiuzulu kimya kimya.
 
Mkuu wewe ni jinsia gani?
 
mbona cdm wameishaingia ikulu yao si iko pale kinondoni makabulini manyanya, au wewe unataka waende ikulu gani or unakumbushia waende mombasa na dubei. Wazee wa kugawa vocha za tigo
 
Leo Gongo ulioinywa ni kiboko, imeingia hadi kwenye "BROCAS AREA" ya ubongo!
 
Dada yangu vipi umekurupuka baada ya kutandika viroba na ganja ndio ukaandaa uzi wako. Maana siku hizi kwa ganja wamama hamjambo na hii thread inaonekana kabisa ushapiga widi. Sahau kwa miaka 50 mingine ya Katiba kama mtakamata madaraka nchi hii hiyo Chagadema yenyewe baada ya Uchaguzi wa mwakani watu wanagawana mbao we endelea na mawazo ya fisi kwamba binadamu anavyotembea saa yoyote karibu mkono unadondoka. Mwisho nikwambie ukiwa mnafiki ujanani uzeeni utakua mchawi dadangu.
 
mbona cdm wameishaingia ikulu yao si iko pale kinondoni makabulini manyanya, au wewe unataka waende ikulu gani or unakumbushia waende mombasa na dubei. Wazee wa kugawa vocha za tigo

Hakika ww pia utasamehewa kwa kua ni kidagaa tu a.k.a b7
 
chama makini cha ACT ndio kitachukua nchi mwakani.. watanzania jiandaeni kupata maendeleo ya kweli
 
Leo Gongo ulioinywa ni kiboko, imeingia hadi kwenye "BROCAS AREA" ya ubongo!

Unatumika kama "kondom" haujitambui baadae utatupwa kisha tutakusamehe bure tatizo lako ni dogo yaani b7 ktk nchi hii iliyojaaliwa madin,mito,maziwa na bahari ambavyo havitunufaishi si wa mjini wala vijijini
 
Too much consumption of alcohol,"Gongo", is dangeous to your health.!
 
Hakuna haja ya CDM ikiingia Ikulu kuifuta CCM. CCM ikinyang'anywa DOLA itakufa yenyewe a natural death. CCM ni Chama DOLA nje ya dola CCM haiwezi kuishi. CCM ni sawa na KIRUSI cha UKIMWI nje ya LIVING CELL (call it DOLA) Kirusi cha UKIMWI (call it CCM) hufa chenyewe a natural death!
 
Too much consumption of alcohol,"Gongo", is dangeous to your health.!

Shule uliyoenda haijakusaidia, ulisomea international school ndo maana hujui matatizo ya watanzania wala hujali rasilimali zinazowanufaisha ninyi wachache?
 
Wakimaliza kukutumia laptop utanyang'anywa, sisi tutakusamehe kwa kua unatetea mkate wako kwa sasa tutadeal na wanaokuweka mjini ww a.k.a vigogo
 
chama makini cha ACT ndio kitachukua nchi mwakani.. watanzania jiandaeni kupata maendeleo ya kweli

--------- vibaya jamaa hawana huruma ,unatumika kotekote pole dada ila ndo maisha uliyoyachagua na njaa pia inachangia
 
--------- vibaya jamaa hawana huruma ,unatumika kotekote pole dada ila ndo maisha uliyoyachagua na njaa pia inachangia

chadema ifutwe haraka sana kwa kuendeleza siasa za ubaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…