Chadema ijenge Mnara kwa ajili ya Mzee Bwege

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,687
Reaction score
272,545
Huyu Mzee alikuwa shujaa wa ajabu sana!

Wakati viongozi wa CHAMA CHAKE CHA ACT wakipigania SUK BIla kujali mauaji ya 29 octoba, yeye akaamua kutangazwa kujiunga na CHADEMA, akiwa kwenye wheel chair bila kuogopa kutupiwa majini

Huu ni ushujaa uliotukuka, napendekeza ajengewe mnara huko kwao
 
Mnara utachukua muda. Mngeipa jina lake ofisi ya Chadema iliyo karibu na alipokuwa anaishi.

Amandla...
Wabashiri wanasema Mbowe hajamalizana na CHADEMA na kuna mpango unaandaliwa. Naanza kuamini kwa sababu kumbikumbi hawatoki bila mvua kukaribia. Chawa wa Mbowe mlipotea hapa JF ila naona mnaanza kutoka mafichoni.
 
Huyu Mzee alikuwa shujaa wa ajabu sana!

Wakati viongozi wa CHAMA CHAKE CHA ACT wakipigania SUK BIla kujali mauaji ya 29 octoba, yeye akaamua kutangazwa kujiunga na CHADEMA, akiwa kwenye wheel chair bila kuogopa kutupiwa majini

Huu ni ushujaa uliotukuka, napendekeza ajengewe mnara huko kwao
chama useless mawazo na mipango nonsense
 
Wabashiri wanasema Mbowe hajamalizana na CHADEMA na kuna mpango unaandaliwa. Naanza kuamini kwa sababu kumbikumbi hawatoki bila mvua kukaribia. Chawa wa Mbowe mlipotea hapa JF ila naona mnaanza kutoka mafichoni.
Ni vema tukijikita kwenye mada
 
Back
Top Bottom