Haramu ni kitu kinapatikana kinyume cha utaratibu.Duniani kote serikali ikishakuwa madarakani hiyo ni serikali halali bila kujali imepatikanaje.
Serikali sio lazima ipatikane kwa kura, inawezekana kupatikana hata kwa mapinduzi ya kijeshi au ya raia na ikishaingia madarakani inatambulika rasmi kuwa serikali ya nchi.
Soma pia Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane
Serikali ya Mapinduzi tukufu ya Zanzibar ilipatikanaje mwaka 1964?Haramu ni kitu kinapatikana kinyume cha utaratibu.
Kama huko CCM mnaona kuua watu na kujiapisha ndo uhalali wenu Sawa.
Hatuwezi kuwa na mtazamo unaofanana.
Hata marekani iliona utawala wa Venezuela ni haramu ingawa ulichaguliwa na wananchi, kwa vile ana mabavu akauondoa.
Hapa kwetu wanaosema ni utawala haramu hawana. Mabavu kuwaondoa kuweni na amani tuu.
Katiba ina mchango mdogo sana katika upatikanaji wa serikali.hili linchi limekuwa la kijinga sana
kukiuka Katiba ya nchi imeonekana ni kawaida kabisa
Mnaosema serikali tukufu ya mapinduzi ya mwaka 1964 ni nyie Wana CCM mnaosema hii serikali ya Tanganyika ni halali.Serikali ya Mapinduzi tukufu ya Zanzibar ilipatikanaje mwaka 1964?
Haijalishi tena, tangu mwaka 1964 Serikali ya Mapinduzi imekuwa ikitambulika rasmi hata na hao Hizbu kuwa ndio serikali rasmi ya Zanzibar.Mnaosema serikali tukufu ya mapinduzi ya mwaka 1964 ni nyie Wana CCM mnaosema hii serikali ya Tanganyika ni halali.
Hizbu na wapenda amani wote walilaani Yale mapinduzi na serikali Ile ni haramu.
Nenda YouTube msikilize Aman Thani aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hizbu akieleza uharamu wa mapinduzi ya mwaka 64.
Kweli ni serikali rasmi hata Hizbu wanatambua Hilo, hakuna anayebisha.Haijalishi tena, tangu mwaka 1964 Serikali ya Mapinduzi imekuwa ikitambulika rasmi hata na hao Hizbu kuwa ndio serikali rasmi ya Zanzibar.
Serikali ya kizandikiDuniani kote serikali ikishakuwa madarakani hiyo ni serikali halali bila kujali imepatikanaje.
Serikali sio lazima ipatikane kwa kura, inaweza kupatikana hata kwa mapinduzi ya kijeshi au ya raia wengi ila ikishaingia madarakani inatambulika rasmi kuwa serikali ya nchi.
Soma pia Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane