CHADEMA huwalipa wanaoandamana

- Jibu hoja kama huna kaa pembeni tumechoka na maneno yenu ya hovyo hovyo weka hoja hapa wachana na mjumbe jibu hoja zake

Le Mutuz
Ngoja apewe vidonge vyake opportunist nambari wani aliyekuwa anapokea hela kutoka kwa Mwigulu.
 

- wewe toa hoja tuone tofauti yako na huyu mwananchi mwenye uchungu na Taifa wacha kelele za mlango maneno mengi jibu hoja hapa!!

Le Mutuz
 
Joseph Ludovick
Pamoja na yote maujinga yote hayo ya CHADEMA bado unaendelea kuwa mwanachama wa hicho chama?? mwenye akili angesha jiondoa ajiunge na wengine walio safi. Imekuaje wewe??

Mkuu,
CHADEMA inayo misingi yake na Falsafa yake. ila kwa sasa misingi hiyo kwa sasa imefukiwa na walafi wachache lakini wenye nguvu kwenye chama. sasa sisi wengine tunadai mabadiliko kutokea ndani. waitaliano wanaita "argionamento". tutakapowapindua hawa mabepari, tutabaki na CHADEMA yetu inayoamini katika uwazi,uwajibikaji, kuchukia rushwa na ufisadi, isiyokubali ufuska na kama hayo. SISI TUNAAMINI KATIKA UWAZI NA MABADILIKO.
 

- Ludovick for Presidency saafi sana mkuu ludo funguka funguka maana hilo lichama sasa limekuwa danguro la uchafu kumbe wanwalipa waandamanaji duh!!

Le Mutuz
 

- Ludovick toka hilo lichama limeoza hamia CCM tunakupa kugombea Urais wewe unafaa kuwa Rais sio huko kwa wahuni hao!!

Le Mutuz
 

wazazi wangu hawewezi kufanana na wako,we unafanana na wazazi wako,mnaaibisha kabila lote la wagogo.
 

Mkuu sisi tunajua unaijua chadema kuliko hao wanao kutukana! Endelea kutujuza sisi tuna kusikiliza
 
Ulikuwa mwenyekiti wa chaso-duce mwaka gani(kwa kipindi kipi?) labda nianzie hapo kukuuliza.
 
wazazi wangu hawewezi kufanana na wako,we unafanana na wazazi wako,mnaaibisha kabila lote la wagogo.

Mkuu mada inasema chadema huwalipa waandamanaji na anayesema hayo ni anaye ijua chadema kuliko yeyote! kwa hiyo naomba ujadili hilo!
 

mkuu huyu ndugu ludo bado yupo cdm hadi sasa kulingana na alivo andika hapo juu.
 
- Jibu hoja kama huna kaa pembeni tumechoka na maneno yenu ya hovyo hovyo weka hoja hapa wachana na mjumbe jibu hoja zake

Le Mutuz

Hivi watu wazima na akili zetu hatuna kazi ya kufanya mpaka tuhangaike kumjibu Ludovick!!!!!!??? Ludo kukusaidia
CHADEMA nguvu kubwa baba imeshindwa serikali nzima nzima ya ccm sembuse weweee!!! hangaikia maisha yako,maana jamaa wamekata kulipa posho kwenu pole'
 

Mkuu swala hapa ni chadema kulipa waandamanaji!
 
Mkuu mada inasema chadema huwalipa waandamanaji na anayesema hayo ni anaye ijua chadema kuliko yeyote! kwa hiyo naomba ujadili hilo!

Ha ha haaaaa anayeijua CHADEMA ni Ludovick huyu mwenye njaa mpaka kwenye ukucha ha ha haaaa!!!!
njaa inamsumbua maana jamaa walikata kutoa posho baada ya deal la video feki kufeli'
 
Chadema inaongozwa kwa fikra za kujipa moyo..yaani wanadhani watanzania wote wanna akili kama wale wabangaizaji wanaoshinda ufipa street..si rahisi kuhamasisha maandamano hewa yanayopigwa kalenda kila leo
 
- wewe toa hoja tuone tofauti yako na huyu mwananchi mwenye uchungu na Taifa wacha kelele za mlango maneno mengi jibu hoja hapa!!

Le Mutuz
Le Mutuz, nakuheshimu sana na ukisemacho kuwa nastahili kujibu hoja, ni kweli kabisa! LAKINI, UKIONA SIJAWEZA KUJIBU HOJA, NI KWA SABABU HAKUNA HOJA YA KUJIBU BALI MANENO MATUPU YA MTU MWENYE NJAA ILIYOPANDA TOKA TUMBONI NA KWENDA KWENYE UBOGO (AKILINI). HAIWEZEKANI KWA M2 MWENYE UTASHI MKUBWA KUONA MAOVU YANATENDEKA MIAKA YOTE HIYO, ASIJING'ATU NA KUACHANA NA UCHAFU. BADALA YAKE AMENG'ANG'ANIA TU HUMO HUMO. HUONI KUWA HUO NI WENDAWAZIMU? KAMA UTAKUWA UNATETEA UPUUZI WA NAMNA HII, BASI NA WEWE NAANZA KUKUTILIA SHAKA. JITAMBUE NDUGU.
 



Ndugu,
naona niweke sawa jambo moja ambalo ------- wa CHADEMA wamekuwa wanalisema kupotosha umma. Hii picha ni siku Ludovick alipofunga ndoa Morogoro na hapo ni Morogoro Hotel mwaka 2012. kulia kwake ni msimamizi wa ndoa yake, bestman anaitwa Prosper Mbelwa. lakini viongozi wa CHADEMA na waongo wenzao kwa kutafuta huruma kwa Lwakatare wamekuwa wanasema eti Lwakatare ndiye alisimamia ndoa ya Ludovick! chama hiki kimejaa uongo mtupu.
Tujuavyo sisi ndugu zake na Ludo ni kuwa Lwakatare alichangia elfu 30 tu kwenye arusi ya Ludovick na alihudhuria kutokana na shinikizo za ndugu zake kwani waliona anamtenga rafiki yake. kama Lwakatare mwenyewe anasoma humu au ndugu yake aseme alichangia shilingi ngapi kinyume na maelezo haya.
Punguzeni uongo na kukariri kila asemacho Tundu Lissu hata kama ni uongo. sasa huyo Lwakatare mnayesemaga eti alisimamia ndoa ya Ludovick ni yupi?
 

Ludo kaongea ukweli na viashiria vinaonyesha umekuuma..pole sana ukiingia kwenye mada uwe na hoja na sio kutumia fallacies kama unavyopayuka wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…