CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

Status
Not open for further replies.
Ubinafsi, tamaa mbaya, choyo, chuki ........! Siku hizi hata Ma PHD holders, waliotukuka, ambao wangekuwa washauri wazuri na elekezi kwa ustawi wa chama nao wako kwenye makundi?? kweli? halafu anasema wananchi wazidi kulalamika kwa ajiri ya rasilimali za nchi wakati hata yeye anapigania madaraka tena ikiwezekana kwa propaganda na umamluki na umimi ukipata siutakuwa kama CCM wewe? kweli? lakini wapo akina prof.Safari ni wasafi tu sidhani kama watakuwa na haya mambo!

Isuto
So sad yaaan of the all pipo ambao watu walikuwa wanawategemea kwa strategy za chama ni yeye.Lets pray iwe uongo
 
Makao makuu wako kimya siyo kwa sababu hizi unazo jaribu kufikilia. Makao makuu wako kimya kwa sababu wao ndiyo chanzo cha mgogoro na hata wale ambao walikuwa wamelala (neutral) wanashindwa kwa sasa kufahamu wako katika kundi lipi, na kwa sababu hiyo, wameamua kuwa kimya kusoma kwanza upepo wa kisiasa.

Haiwezi kuingia akilini kuwa toka uchaguzi wa BAVICHA umalizike hawakuweza kujua kama kuna tatizo linalofukuta ambalo linahitaji solution kama wao siyo chanzo cha tatizo na kama sivyo basi waliamua kuwa extremely naive katika kukabiliana nalo

Watu hapa wanashangaa kusikia Dr. Mkumbo kama naye ni chanzo cha tatizo lakini wanashindwa kuelewa kuwa viongozi karibu wote ni chanzo cha tatizo kwa sababu ya ubinafsi wa kupindukia uliochagizwa na mabadiliko ya kasi katika jamii kutaka mabadiliko ya kisiasa.

Hekima na Busara za Wazee wa Chama ndizo zitakazoyaunganisha haya 'makundi' yanayoonekana kuwepo ndani ya chama.
 
Mkuu OSOKONI mimi siku huwa naamini hivyo. Yaani kulumbana ndani ya chama ni afya. Na makundi ndani ya chama hayaepukiki. Lakini haya ya kuuana tena si ya afya!

umefanya uchunguzi gani ukajua kuwa kweli watu wanatishiani kuuawa?CCM ndio wanatishana kuuana hadi ikaundwa tume ya kuwapanisha umesahau mkuu??
 
Makao makuu wako kimya siyo kwa sababu hizi unazo jaribu kufikilia. Makao makuu wako kimya kwa sababu wao ndiyo chanzo cha mgogoro na hata wale ambao walikuwa wamelala (neutral) wanashindwa kwa sasa kufahamu wako katika kundi lipi, na kwa sababu hiyo, wameamua kuwa kimya kusoma kwanza upepo wa kisiasa.

Haiwezi kuingia akilini kuwa toka uchaguzi wa BAVICHA umalizike hawakuweza kujua kama kuna tatizo linalofukuta ambalo linahitaji solution kama wao siyo chanzo cha tatizo na kama sivyo basi waliamua kuwa extremely naive katika kukabiliana nalo

Watu hapa wanashangaa kusikia Dr. Mkumbo kama naye ni chanzo cha tatizo lakini wanashindwa kuelewa kuwa viongozi karibu wote ni chanzo cha tatizo kwa sababu ya ubinafsi wa kupindukia uliochagizwa na mabadiliko ya kasi katika jamii kutaka mabadiliko ya kisiasa.

Hekima na Busara za Wazee wa Chama tu ndizo zitakazoyaunganisha haya 'makundi' yanayoonekana kuwepo ndani ya chama.
 
Mbona Slaa alimpigia kampeni Mwakyembe?

Kweli uchunguzi wa kina ufanyike wajameni.

Peopleeeeeeees!
 
Mwenye namba ya simu ya katibu mkuu wa CDM aniandikie kwenye PM, ili nipate kumjulisha huu uozo ambao watoto wake wanafanya.
 
Makao makuu wako kimya siyo kwa sababu hizi unazo jaribu kufikilia. Makao makuu wako kimya kwa sababu wao ndiyo chanzo cha mgogoro na hata wale ambao walikuwa wamelala (neutral) wanashindwa kwa sasa kufahamu wako katika kundi lipi, na kwa sababu hiyo, wameamua kuwa kimya kusoma kwanza upepo wa kisiasa.

Haiwezi kuingia akilini kuwa toka uchaguzi wa BAVICHA umalizike hawakuweza kujua kama kuna tatizo linalofukuta ambalo linahitaji solution kama wao siyo chanzo cha tatizo na kama sivyo basi waliamua kuwa extremely naive katika kukabiliana nalo

Watu hapa wanashangaa kusikia Dr. Mkumbo kama naye ni chanzo cha tatizo lakini wanashindwa kuelewa kuwa viongozi karibu wote ni chanzo cha tatizo kwa sababu ya ubinafsi wa kupindukia uliochagizwa na mabadiliko ya kasi katika jamii kutaka mabadiliko ya kisiasa.

Hekima na Busara za Wazee wa Chama ndizo zitakazoyaunganisha haya 'makundi' yanayoonekana kuwepo ndani ya chama.
wanaopambana hapa ni kina TUNTEMEKE .....hayo makundi ni yapi?stop spinning!
 
CDM washukuru sana kuwa mambo haya yamejianika wazi mda huu. Naamini kimbunga hiki (nimeaga kwetu)kikipita salama, basi chama kitasimama kwa uimara zaidi.
Ila kuna lile swala la mbowe kumlisha sumu zitto mpaka akapelekwa india. Sidhani kama makundi haya yapo tayari kuliweka hadharani ili nyongo yote itoke
 
Ni mapema mno kulaumu chama/viongozi wa juu kuwa wapo kimya,

Mh Slaa jana amesema wazi anasubiri tuhuma hizi zifikishwe mezani pake!

Sina uhakika, lakini kwa uzoefu wangu wa siasa za kisasa za kimageuzi zinazoongozwa na Chadema, kikao cha dharula kitatishwa ndani ya masaa 36 kutoka jana!

Vuteni subiri chadema ni chama imara chenye watu makini na magwiji wa siasa za kimachipuko!

Mkuu ina maana huyu rais wa mioyo ya Watanganyika alikuwa hazijui hizi tuhuma na movie ya Bavicha na PM7?
Kama ni hivyo naomba kamanda Lwakatare achunguzwe maana intelijensia yake inaweza kufanya chama kinatekwa kabla hajatoa taarifa.
 
wanaopambana hapa ni kina TUNTEMEKE .....hayo makundi ni yapi?stop spinning!

Elewa nini maana ya KUNDI/MAKUNDI kwenye kamusi kwanza ndio ufikie kwenye tamati ya bandiko langu kama ni spinning au la.

Kwani hao kina TUNTEMEKE ni mmoja/wengi?, halafu ni kiongozi/viongozi au siyo kiongozi/viongozi ndani ya chama.
 
this is a war btn TUNTEMEKE ambao wote ni wasaliti wa ukombozi
 
Duh Inashangaza sana kuona vijana hawa tunaotaka kuwaamini kutuletea mabadiliko ya kweli wanatugeuka..... Namshukuru sana Mungu kwa kunipa uwezo wa kusoma na kuelewa, na kujua ukweli ni Upi.

Hawa Vijama (Ben, Machange na Mamuya) wameonyesha Black and White asiye na Masikio na asikie aliye na maacho na Aone na aliyejaliwa Ufahamu mdogo tu wa kawaida na afahamu.

Cha msingi hapa ni Malipo ni humu humu duniani... Kumbe wakati tunajipanga katika kuwakomboa Wanyonge, Wagonjwa, Watoto Masikini akina Mama wajawazito, Wazee ambao wamechoshwa na Kila aina ya Unyanyasaji wa CCM na Serikali yetu kuna baadhi yetu tunapambana usiku na Mchana kuhakikisha ndugu zetu hao wanabakia katika matatizo hayo, kumbe wakati tunajipanga kuondoa adui huyu CCM kuna watu tumewapa hiyo dhamana wanatugeuka kisa maslahi binafsi....

Malipo ni humu duniani, na watashindwa tu maana vita inayopiganwa sasa ni kati ya Uovu na Uadilifu, Shetani na Mungu.
 
PM basi,afu uliadimika sana katika uzi za cdm zinazoendelea,halafu unafikiri hawa jamaa wafanyiwe jambo lipi?

Hahaaaaaaa Mkuu mods wanachungulia mpaka kwenye PM............ labda kwenye e-mail.
Sijaadimika mkuu ila nilikuwa msomaji zaidi ya kuchangia manake nimechoka kupigwa BAN................ wapo mods wakiona bandiko langu nadhani wanapata ham ya kunipeleka sero
 
Watanzania oneni hiki chama hakina displine kabisavikao vyao mitandaoni.wanashambulina kusemana majungu kwenye mitandao.ukiwapa nchi hawa watararuana kwa kupenda maslahi.hiki hakina sifa ya kuwa chama cha siasa zaidi ya kuwa chama cha wasanii
 
Kwenye hil indugu yangu tuiweke CCM pembeni; hili ni la CDM tu. Kwani hawa watu wameshikiwa mapanga na bunduki na CCM kichwani? Au tunafikiri wamekaa kama maroboti ya kisiasa ambao wenye kuyaendesha wako Lumumba? Kuilalamikia CCM kwa yanayoendelea CDM ni sababu tosha ya kwanini CDM inahitaji kufanya kitu. Haiwezekani CCM wapike Lumumba chakula kiive Rufiji!

Mkuu hapo hujaangaza kwa mapana,

Wengi mgogoro huu hawauelewi wamebaki kuhisi tu,

Ukweli ni kuwa ccm ndio mfadhiri wa kundi lililojipa jina la MP7,

Na malipo yote hupitia kwa kingozi wa kkundi hilo bwana Zitto Kabwe!

Kuna mengi mazito yamehifadhiwa yatatolewa mbele ya vikao vya chama!

Japokuwa ccm haikulinda kundi hili, bali ccm imetumia mwanya wa kundi hili kuiangamza chadema, na kabla chadema haijaangamia intelijensia yake imefanya kazi ipasavyo!

Chama kipo imara na kinazidi kuwa imara!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom