Philipo Mwakibinga
Senior Member
- May 13, 2013
- 110
- 175
Chawa Mwakibinga kama hakukumbukwa wakati wa jiwe , awamu hii ya WATOTO WA VIONGOZI , AKINA MCHENGERWA , NAPE , RIZIWANI NA JANUARY basi asahau mileleChadomo ni fungu la kukosa tena kukosa yote waapuuze maisha yasonge
USSR
Point, wanakusanyika kwenye uchaguzi.Chadema hawana cha kufanya , Hawapo organized, kila mmoja anafight kivyake
Ila ukiwaambia wanakuwa wakali hao mpaka unataka kukimbiaChadema hawana cha kufanya , Hawapo organized, kila mmoja anafight kivyake
Jibu hoja kwa ushahidi kwamba hicho kinachodaiwa kutofanyika kwa Profesa J ni kweli au uongo kwa kuweka ushahidi sio kusema tu uongo hausaidii.Uongo unaokuaibisha utakusaidia nini ?
Chadema imekusanya wapi? Wakati hizo milioni 22 ni michango ya jumla ya wananchi wote ikiwepo elfu kumi yangu,na tulituma moja kwa moja kwenye namba ya simu ya mgonjwa,wewe wa wapi?Mbona CHADEMA ilisha kusanya million 22 na kukabidhi kwa familia ya Prof j. Na pia CHADEMA walituma salamu za shukrani kwa wananchi waliohusika. Tatizo mnafanya siasa Hadi kwenye ugonjwa wa mtu. Mnatafuta Mambo madogo ili muishushe CHADEMA.
Hapa una feli mkuu,Tuchukulie uko sahihi sana na hii ramli chonganishi, Profesa J ameporwa ubunge wake uchaguzi uliopita na yule kiongozi dhalimu aliyeko motoni. Hivyo Prof J alivuta hela yake yote ya kumaliza ubunge 200m. Je amepeleka wapi hela yote hiyo ndani ya mwaka mpaka mumgeuze mtaji wa siasa za kishamba? Mnadhani mnaichonganisha cdm na wananchi, kumbe mnamuanika profesa J kuwa ni mfujaji wa Pesa. Kama alikuwa anapata 12m@ kwa muda wa miaka mitano, na mkono wa kwaheri wa 200m, iweje ndani ya mwaka ashindwe kujihudumia matibabu yake mpaka ageuzwe muhanga wa siasa za majitaka? Ni hivi, kama mmegeuza mtaji wa kisiasa profesa J, basi mnamuanika tu kuwa ni mfujaji wa pesa akitegemea kusaidiwa kisa alikuwa mbunge wa cdm.
Sio wakati wote ni muda wakujibu ujinga.Jibu hoja kwa ushahidi kwamba hicho kinachodaiwa kutofanyika kwa Profesa J ni kweli au uongo kwa kuweka ushahidi sio kusema tu uongo hausaidii.
Wewe ni mmojawapo wa wazushi wazoefu wa kuleta mada za uzushi hapa JF.
Tuthibitishie it is not your own medicine.
Unadharirisha wanyakyusa. Huwa hawana sifa ya unafki, kujipendekeza ni wapenda haki.Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema(mwenyekiti wilaya ya kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa)
Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi Sana. Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea mitandaoni
1.chadema walijiweka kando na Familia ya Jay, ni Kama kumsusa Jay kimtindo.
2.chadema hawakwenda hata kumuona Jay hospitali. Ni Kama kumpuuza fulani hivi. Jana jmos ndo tumewaona suzan lyimo, Kihwelu na Owenya ndo wameenda.
3.chadema Kama chama haijaonyesha namna yoyote ya kumchangia Jay matibabu, walitaka kujificha kwenye kivuli Cha malisa na Gifted heart wakasahau kuwa malisa ni mwanachama tu na gifted heart ina members wa mirengo tofauti.
:::Gifted heart wamehimiza michango.
Wasanii wamekusanya michango.
AcT wamehimiza michango
Ccm kupitia kwa Katibu Mkuu wake wameenda hospitali kumuona Jay.
Wizara ya afya imempa special care mgonjwa.
Mama Samia ameagiza serikali kugharamia matibabu.
Clouds media na viongozi wa dini wamefanya ibada maalum ya kumuombea Jay.
Chadema imefanya nini? Angalau hata hawa wabunge mnaowaita covid walijichangisha wakapeleka mchango wao kwa mgonjwa.
Kuna wakati huwa tunadanganywa kuwa wanaohama wananunuliwa' kumbe matendo ya viongozi ambayo kimsingi hayaendani na kile wanachokihubiri ndio kinachowakwaza watu. Inauma na kufikirisha Sana!
ChawaUongo unaokuaibisha utakusaidia nini ?