Ally Kanah
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,479
- 388
- Thread starter
-
- #21
Hakuna awezaye kujibu hoja za Lissu, kama yupo ajitokeze na kukanusha huo ushahidi wake tuone kwani hata baadhi ya majaji walikuwa na malalamiko kibao, na huenda siku moja wakapinga yanayofanywa na huyo/hao mabosi wao kwa njia ya maandamano.
Masaburi kazini vichwa mnafugia nywele!
Kuwa na akili kidogo acha akili za kushikiwa
Gazeti lolote linalofichua maovu ya CHADOMI linakuwa la kipuuzi ndio hivyo eee? Linaloisifia UMBEA na UNAFIKI wao linakuwa lakijanja si ndio maana yake
Uzuzu at work
Bora wanaofugia nywele kuliko nyie mliojaza makamasi
Gazeti la nani hilo.
Sibishani na hoja toka kwa mtu asiyejua anasema nini...very stupid.
Chadema hawapiganii kukopeshwa hela, hoja iliyopo mezani haina mashiko.
Sera za chama hazijajielekeza katika kukopa ili kujenga chama ndani na nje ya nchi.
Sauti huru haiwezi kuwa huru,mpaka uhuru wanao ukumbatia wauainishe kwa vigezo.
Kama hoja zao ndo hizo,wateja wao watakuwa wasomaji wa Uhuru wa muda mrefu.
Kwa akili ya kawaida tu,gazeti la uhuru linajulikana ni lanani, kama wameuongezea neno SAUTI NA KUONDOA HERUFI "U" KATIKA UHURU na kufanya jina la gazeti lisomeke "SAUTI HURU " je hili litafanya gazeti hili kupendwa?
Baada ya kuona gazeti la uhuru halisomeki hata kwa bure, naona wameleta pacha wake. Hivi ninyi hizi pesa mnazotumia kuchapa gazeti kwa hasara wakati haliuziki ,nani anazilipa???
Kwa hiyo magazeti yanayofunua UCHAFU wa CHADOMO hayatakiwi?
Nasikia linamilikiwa na Ridhiwani Kikwete.Gazeti la nani hilo.