Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Magamba at work
Wana-JF, tujue kuwa CDM inaongozwa na watu ambao sio malaika. Makosa kama anayoripoti mtoa mada yanaweza kufanyika ingawa naamini hakuna kiongozi ndani aliyeelekeza jambo hilo kulifanya. Mtoa uzi huu anaonekana amefanya observation hiyo na kutoa ushauri. Sioni ubaya wa ushauri wake. Ni bora tukarekebisha pale panapovuja ili tuweze kuziba mwanya wa magamba kupata cha kuegemea. Tukianza kufikiri kuwa ndani ya CDM ni perfect 100% tutakuwa tunafanya kosa kubwa la kiufundi. Tukubali constructive ideas & observations.
malaria hauanza polepole na malaria sio mzaha!Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
Poteza muda wako kuandika unafiki tu. Nitajie wimbo mmoja wa kwaya au injili ulipigwa ktk mikutano hapa Arusha. Umetumwa na nani wewe kibuyu?Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
Wengi wape, kama majority wanafurahia nyimbo hizo hakuna ubaya afterall Mungu lazima awekwe mbele kwenye mapambano haya.
Wasio taka waende CUF au CCM huko ebo!
Poteza muda wako kuandika unafiki tu. Nitajie wimbo mmoja wa kwaya au injili ulipigwa ktk mikutano hapa Arusha. Umetumwa na nani wewe kibuyu?
kumbe Mhe lema mlokole? mwenye uelewa wa kutosha naomba anijuze maana ya ulokole kama hata Godbless yumo!!!!!
kumbe Mhe lema mlokole? mwenye uelewa wa kutosha naomba anijuze maana ya ulokole kama hata Godbless yumo!!!!!
Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na sehemu nyingine ukifika kwenye mikutano hii utazani mzee wa upako au kakobe anahutubia nataka niwakumbushe viongozi wangu na mbunge wangu mheshimiwa lema bado wewe ni mbunge wangu najua wewe ni mlokole lakini kumbuka wanachama wote cdm si wakristo na mikutano ya kisiasa sio ya kidini na wala Chama hakina dini na kwamtu ambaye si mkisto sehemu Kama ile anakua uncomfortable to be honest ingekua wewe ni mkristo na kwenye mkutano wa Chama chako ikawa inapigwa KASWIDA ungejisikiaje? Leo cdm inatakiwa kuunganisha watu wote na dini zote ili kuchukua dola na isifanye makosa ya cuf kuzani unaweza kuchukua dola na watu wa dini moja ili tufike tunakoenda lazima tukosoane na kuelezana ukweli people's power!!
well said .kama ni kwel
viongozi wanapaswa kulifanyia kaz[/Q Viongozi wa chadema ni wasikivu,nina amini mambo yote haya yatafanyiwakazi kikamilifu na ngazi zinazohusika
Magamba at work