CHADEMA hili la Stiglers tuweke siasa pembeni

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,139
IMG_7176.jpg

Habarini wana jukwaa.
Kabla ya vyama vyetu, kuna taifa letu, CHADEMA mkiwa kama chama kikuu cha upinzani mna heshima kubwa sana kwa wananchi;karibu na ndugu zenu CCM, suala la nishati ni jukumu la serikali mliyoiunda.

Hii ni Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015; Stiglers ni kati ya miradi mikubwa mliyonuwia, lakini kwanini kulikua na kipingamizi mwaka 2019 kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira na kupotea kwa ekolojia ya wanyama mbuga ya selous. Kama nanyi mliona hatua kubwa ya uzalishaji wa nishati, naomba muunge mkono Rais Magufuli kwa hili, si lazima muunge CCM.

NB
Maoni haya hayaambatanishwi na chama chochote cha kisiasa. Natarajia mjadala kuhusu Stiglers [emoji4]
 
Kwa ufahamu wako siasa ni nini!?
Utaintegaje Stigler's na siasa!?

Siasa ni mfumo mkakati maalumu kutengeneza hatma ya maisha pia;

Siasa ni kitendo au harakati za kutafuta imani ya watu ili wakupe mamlaka.

Namaanisha maana ya pili; tusitake ushawishi kwa watu kutoridhia hatua za Rais kufanya huu ujenzi. [emoji4]
 
Ni ngumu sana kuwaelewa Chadema wanataka nini
Tunataka uhuru. Tumechoshwa na vifo vya ndugu zetu waliopotea katika mazingira yenye utata.na kutekwa hovyo na vyombo vya dola. Watanzania hatukuyazoea haya.
 
Tunataka freedom of speech to sio kuishi kwa kuogopa kutekwa
 
Mkuu sema nataka Uhuru siyo "tunataka" Uhuru
Mimi na marafiki zangu na ndugu zangu na ndugu zake roma mkatoliki , azory gwanda, Ben saa nane , Tundu lisu, na mamia ya watanzania tuliopoteza ndugu zetu, waliopo magerezani kwa sababu za kisiasa,waliotekwa na waliopotea. Wewe sijakuunganisha mkuu.
 
Ni ngumu sana kuwaelewa Chadema wanataka nini
Wanataka kupinga tu ndo sababh wakati mwingine wanajipinga hata wao wenyewe. Juzi kati walisema JPM katekeleza yale waliyotaka, mgombea wao anadai hakuna lolote isipokuwa kuendeleza chato, siasa za kitoto kabisa. Kwa sasa hamna wabeba viroba wala wavuta gundi wasubiri wafundishwe siasa.
 
Labda wewe ndio huna Uhuru huko kwa shemeji yako mume wa Dada yako sio utusemee sote "eti tunataka Uhuru" labda Uhuru wa kuondoka nyumbani kwa shemeji
Mimi na marafiki zangu na ndugu zangu na ndugu zake roma mkatoliki , azory gwanda, Ben saa nane , Tundu lisu, na mamia ya watanzania tuliopoteza ndugu zetu, waliopo magerezani kwa sababu za kisiasa,waliotekwa na waliopotea. Wewe sijakuunganisha mkuu.
 
Mimi na marafiki zangu na ndugu zangu na ndugu zake roma mkatoliki , azory gwanda, Ben saa nane , Tundu lisu, na mamia ya watanzania tuliopoteza ndugu zetu, waliopo magerezani kwa sababu za kisiasa,waliotekwa na waliopotea. Wewe sijakuunganisha mkuu.
Afadhali hujanijumuisha Mkuu mana nimeshangaa unaponisemea
 
View attachment 1532371
Habarini wana jukwaa.
Kabla ya vyama vyetu, kuna taifa letu, CHADEMA mkiwa kama chama kikuu cha upinzani mna heshima kubwa sana kwa wananchi;karibu na ndugu zenu CCM, suala la nishati ni jukumu la serikali mliyoiunda.

Hii ni Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015; Stiglers ni kati ya miradi mikubwa mliyonuwia, lakini kwanini kulikua na kipingamizi mwaka 2019 kwa kisingizio cha uharibifu wa mazingira na kupotea kwa ekolojia ya wanyama mbuga ya selous. Kama nanyi mliona hatua kubwa ya uzalishaji wa nishati, naomba muunge mkono Rais Magufuli kwa hili, si lazima muunge CCM.

NB
Maoni haya hayaambatanishwi na chama chochote cha kisiasa. Natarajia mjadala kuhusu Stiglers [emoji4]
Hapo kwenye kipengele cha kwanza panasema mlundikano wa kodi kwenye nishati ikiwepo GAS.

Mnaweza kutupa maelezo ni kwanini GAS yetu ya Mtwara ule mradi mmeutelekeza ghafla na kukimbilia hii White Elephant projects ya Striglers ambayo itachukua muda zaidi na gharama kubwa ya riba ya mikopo mnayochukua kwenye hili?
 
Umewauliza waakina nani ? [emoji4]
 
Back
Top Bottom