CHADEMA hii si ile iliyokuwa enzi za Dkt. Wilbroad Slaa

Sasa ndugu yang sisimizi.. kama ndivyo hivyo kulikua na ugumu gan kufanya analysis ya matumiz kama haya unayodai mpaka ikapelekea Mzee wa watu kutumbuliwa kisa kuhoji matumiz yake?
Yeye mwenyekiti Mbowe alipohojiwa na marehemu Chacha Wangwe kuhusu matumizi ya ruzuku alichofanya ni kumpa Deus Mallya kazi ya kumuondolea mbali.
Halafu mnasema Mbowe sio gaidi?
 
Kwani CCM hii ndio ile ya Mwl JK Nyerere?hoja ambazo huanzia kuwaza kwa kutumia makalio ndio hizi
 

Lema ni nabii, mpaka siku ya kufa mkewe anajua

Lissu ni mbishi, mjuaji, sio mwanasiasa ba ana personal vendetta na kila mtu, hafai kwenye siasa za ushawishi

Mbowe ndio pekee alikuwa tumaini, ila akamezwa na ujinga wa kumchukia JPM na kufurahia kifo chake, badala ya kudaka sera za JPM na kuumiza CCM, kaangukia pua

Chadema wanajua kila kitu, wana watu wao wa kuwapa ushauri, neno msaliti ni kawaida kwao
 
MTU akikimbilia CCM toka CHAFEMA husifiwa sana.Shida in kuwa ukiwa CCM unaondolewa ubongo wanaweka tope.Huna hoja.Ngeke kasoro maki
...
 
Yeye mwenyekiti Mbowe alipohojiwa na marehemu Chacha Wangwe kuhusu matumizi ya ruzuku alichofanya ni kumpa Deus Mallya kazi ya kumuondolea mbali.
Halafu mnasema Mbowe sio gaidi?
Out of point 🚮🚮🚮🚮, jibu hoja iliyopo then anzisha thread ulete hoja yako hapa tuifanyie kaz.
 
Kama vile CCM ulivyokuwa ya Nyerere ya haki, hivyo hivyo CHADEMA ya haki ya sasa haiwezi kuwa ya Slaa ya kuhongwa pesa na vyeo.
 
Kuna maingizo mapya yanashambulia balaa! Of all Lumumbas, Lizaboni was a legend, sijui yupo wapi jamaa..
 
 
Kama vile CCM ulivyokuwa ya Nyerere ya haki, hivyo hivyo CHADEMA ya haki ya sasa haiwezi kuwa ya Slaa ya kuhongwa pesa na vyeo.
Kama chama kina hali mbaya kama unavyosema, wewe unahangaishwa na nini? Kwa taarifa yako chadema kina nguvu na kinaaminika kwa watu kuliko wakati wa Dr. Slaa. Kama wewe ni mtaalam wa takwimu Dr. Slaa alipata kura ngapi ukizilinganisha na baada ya kuondoka kwwake? Kipindi cha Dr. Tulikuwa na wabunge wangapi na baada yake ilikuwaje? Acha kujitekenya ndugu.
 
Ukiukwaji wa sheria unaoambatana na kuhonga majaji vyeo lazima ukosolewe na kila mpenda demokrasia duniani kote, msifunge watu midomo kwa kuwataka wasijadili huu uozo unaoanza kulinyemelea taifa letu.
Kesi mkishinda mahakama ipo huru mkishindwa mahakama haipo huru sasa hivi mnakuja na msamiati mpya eti kahongwa vyeo
kwan kwa sabaya yule hajaongwa vyeo? kwa kuwashaur tuu uenyekiti mpeni heche kwa muda katibu aitishe kamati kuu mana mwenyekit na makamu wote hawapo
 
Mbowe amejaribu kuja na hoja ya katiba mpya mmempa kesi ya ugaidi.

Mashetani wakubwa ninyi.
Kumbe katiba mpya ni hoja yake na sio ya wananchi! Hivi kumbe hoja hii ya katiba mpya imeasisiwa na Freeman Mbowe pekee!
 
Laana ya Dk wilbroad Slaa inawatafuna. Kaeni mjitafakari.mwenyekiti wenu alishiriki kuunda genge la kumkomoa Sabaya lakini sasa inaonekana watakutana kwenye moja ya Magereza nchini.

Hilo lipropaganda lirefu umeliandika likiwa limebeba matamanio yako mpaka unajichanganya. Slaa alikuwa kiongozi muasisi wa Cdm? Umebeba utoto ule ule mliokuwa mnalishana wanaccm ndio umefanya ni bonge ya tathmini. Kwa sasa hakuna tathmini yoyote inawabeba ccm kwenye ushindani na cdm, zaidi ya kutegemea vyombo vya dola kuzuia Cdm kufanya siasa.

Ni hivi, ccm sio chama cha kizazi hiki, haya mnayofanya sasa dhidi ya Cdm, ni mbinu mlizotumia huko nyuma enzi za kizazi cha ccm na zikafanikiwa. Kwa bahati mbaya Mkabaki kutegemea mbinu hizo hizo kuendelea kukaa madarakani, bila kujua kizazi cha CCM kimeshapita. Matokeo yake mnashurutisha kukaa madarakani bila ridhaa ya wananchi, ndio hapo mnapoka uchaguzi maana mnajua hamna ushawishi, na wakati huohuo idadi ya wapiga kura inazidi kushuka, maana mnalazimisha kukaa madarakani bila ridhaa yao.
 
CHADEMA kwishney kwishney....

Wamekuwa wazee wa siasa za matukio na kuchafua wengine.....
Kwani kamati kuu inakaa lini kujadili rufaa za wake zao, wale wabunge 19 wanaowalisha? Itaweza kweli kuwafukuza wakati wale ndio ma bread winners wa kamati kuu kwa Sasa?

Hivi Joyce Mukya yupo? Sijamsikia kwenda kutembelea mahabusu na watoto wake!!
 
Maisha ya mwaka 1977, sio maisha ya leo. Mahitaji, changamoto na hata tekinolojia ni tofauti. Ulimwengu unabadilika hivyo, yafaa kubadilika kuendana nayo
 
Kwahiyo miradi yote hiyo katumia mshahara wake?

Hujui hizo ni kodi za wananchi wa Tanzania?

Hivi nyinyi nani kawaroga hadi kutojua nini maana ya....kajenga.....
 
Waukubali tu ukweli chama hiki kimefika ukomo wake Kama ilivyotokea kwa NCCR ya Mrema enzi hizo.
Mawazo hayo hukuanza nayo wewe maana kuna waasisi wa hizo ndoto.

Lkn walioanzisha ndoto hizo saa hizi wapo hoi makaburini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…