voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,550
- 11,879
- Thread starter
- #61
Yeye mwenyekiti Mbowe alipohojiwa na marehemu Chacha Wangwe kuhusu matumizi ya ruzuku alichofanya ni kumpa Deus Mallya kazi ya kumuondolea mbali.Sasa ndugu yang sisimizi.. kama ndivyo hivyo kulikua na ugumu gan kufanya analysis ya matumiz kama haya unayodai mpaka ikapelekea Mzee wa watu kutumbuliwa kisa kuhoji matumiz yake?
Halafu mnasema Mbowe sio gaidi?