Chadema hela ya kufanyia mikutano wanatoa wapi?

Mkuu JJB, unasahau historia ya Mwalimu Nyerere kuchangiwa hela na makwabela kwenda UNO (United Nations) kudai uhuru wa Tanganyika. Pia CHADEMA inachangiwa na makabwela wenye matumaini ya kupata ukombozi wa maisha bora kwa kutoa michango yao midogo lakini kwa vile ni wengi na ndiyo watasaidia kuipeleka CHADEMA IKULU kushika dola. Tatizo CCM mnawapuuza makwabela tofauti na Mwalimu Nyerere na kupokea fedha zenye harufu ya ufisadi kupitia EPA, DEEP GREEN, RICHMOND n.k na (CCM) kuwalinda mafisadi kwa nguvu zenu zote.
 

Kule kule ambako MWIGULU NCHEMBA alipata hela za kuifadhili SIMBA SPORTS CLUB kwenda KIJIJINI kwake HUKO SINGIDA
 

wanachangiwa na marafiki wa lowasa.
 
Basi we utakuwa una matatizo,yaani we mwanachama hai alafu ujui chama chako pesa za mikutano wanatoa wapi, hayo majanga.
 
Chadema kinapata ruzuku michango kutoka kwa wadau na wahisani hata mwananchi 2 wa kawaida wanaichangia chadema
 

elfu yangu tano ninayochanga ...kwa wanachama wote wa CDM.... endelea kukokotoa....
 



Kha ha ha ha ha haaaaaaa!

chichiem a.k.a mafisadi ndiyo wanawezesha!
 
Hivi BAVICHA jinsia ya kike mnaifanya kama tusi?

Maana naona mnadhalilisha kweli mama na dada zetu. Kama huwezi kuitetea CHADEMA kwa hoja nenda kalime kijijini kwenu.

kwa hiyo we mwigulu ni wa mjini,tangu lini singida kukawa mjini?
 
The Christian Democratic Union of German (CDU)
 

Acha kujitia upofu wewe kwani CDM wanamkodi Diamond na wanamziki wengine? CDM pia hawaendi kuwachukua watu kuja kwenye mikutano yao kwa mabasi na fuso kama cccm CDM hawachinji ng'ombe na kupika wali kwa ajili yya watu wanaokuja kwenye mkutano na pia CDM hawatoi posho kwa washiliki wa mikutano yao bbadala yake washiliki wanaichangia CDM. Lakini pia unatakiwa ujue kkuuwa wanachama wa CDM wanalipia ada ya kadi zao kila mwezi sio kama ccccm ambao wanachama wanalipiwa kadi zao na wagombea wakati wa kula za maoni.Sasa kwa hapo tu hiyo milioni 100 inatoka wapi? na wewe unavyo jua pesa ya ruzuku kazi yake zaidi ni nini? kusema kweli CDM imewashika pabaya sana yani cccm hamuishi kuiongela mala mjiite wanachama hai wa CDM huku mkiwa mnaongopa. VIVA CDM
 

Mwana ccm China kwake ni halamu kwani kwa sasa cccm wote mnadeal na madawa ya kulevya sasa sidhani kama utapoana hata kwa kutembelea tu watakutia kkitanzi. Halafu mbona kama kweli wazalendo kwanini hamtaki kujua mikataba ya gesi na rasilimali zingine za Tanzania walizo wapa mnao waita wawekezaji? Lakini pia ni busara kuuliza pia kwa akina Nape na mwigulu wanapata wapi pesa za kumkodi Diamond ambaye kasema kwa show 1 sio chini ya M. 20? jifunze kujiuliza zaidi kuliko kuuliza zaidi. VIVA CDM
 
mwaka huu ccm mtachanganyikiwa. chadema wamewashika pabaya. mia
 
Yeyote ambaye amehudhuria mikutano ya CDM atakuwa ameone michango ikifanywa wakati wa mikutano hiyo. Hicho ndicho chanzo cha fedha cha kughramia mikutano hii. Hebu Ndugu jaribu kuhudhuria angalau mkutano mmoja uone.
 
Kama we ni wanachama alafu ucjue pesa inapatikana je huo unafiki!!!
nakusaidia cku moja uzuria mkutano then ukitoka pale utajua nje ya wafadhiri , vyama rafiki , ruzuku na nk. utajua kama pesa inapatikanaje CCM wanonge CDM wanapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…