CHADEMA HEDARU yang'ara MNO !

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,496
Reaction score
272,110
inasemekana KIFO kinafanana tu ! Kwamba aliyeugua akafa ni sawa tu na aliyeliwa na Mamba au simba ama ni sawa tu na alyekufa kwa kuungua na moto ! Nimepita HEDARU mchana huu , kiukweli ni kwamba pale ccm imeteketea ! Kila UNAYEJARIBU KUMHUSISHA NA CCM ANARUKA FUTI MIA ! HIVI CCM IMEBAKI WAPI , NA JE INAKUFA KIFO GANI ? HONGERENI SANA CDM HEDARU , SOURCE NI MIMI MWENYEWE SAFARINI KUREJEA DAR .
 
wapare wamefufuka hongereni sana !!!
 
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.
 
Huo ni mwanzo mzuri Wa ukombozi Wa Kweli chini ya cdm,hongereni makamanda
 
Hakuna sehemu watakayobakia

No. Taswira ameripoti kwamba jimboni kwa mwigulu bado maccm ni strong. Na kwa kuongeza nguvu nasikia Shonza na Mwampamba wako mbioni kuhamishia makazi yao huko.
 
Wapare wamegoma kufanywa mtaji na mccm maana mtaji wa maccm ni ujinga na umasikini
 
CCM imebakia tanga na wilaya zake zote hasa huko lushoto....cjui hawa wasambaa watatoka usingizini lini jamani...inasikitisha sana...wangekua hata serious basi wachague hata wabunge wenye uelewa haohao wa ccm atleast ingewasaidia....wabunge wenyewe ni mizigo tu bungeni....
 
No. Taswira ameripoti kwamba jimboni kwa mwigulu bado maccm ni strong. Na kwa kuongeza nguvu nasikia Shonza na Mwampamba wako mbioni kuhamishia makazi yao huko.

ina maana mkuu Mwampamba ndio nyumba dogo ya muuaji Savimbi
 
wasambaa ni kiboko wanayo mbunge ambae na mganga wa kienyeji maji marefu ajui hata kusoma na kuandika majanga
 
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.

Sawa Zakayo mpaka uone ndio usadiki
 
ina maana mkuu Mwampamba ndio nyumba dogo ya muuaji Savimbi

Houseboy. Time zime change. Zamani kabila la mwigulu walikuwa ma-houseboy number one. Siku hizi wao ndio wana ajiri makabila mengine.
 
wewe unafanana kwa kiwango kikubwa na Chankaka. halafu utakuwa umechanganyikiwa kama si kurukwa na akili. hivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kupita barabarani na kuwauliza watu vyama vyao?
 
Nakaribia hapo sasa hivi nimepita ndungu nipo kitongoji kinaitwa bendepa au majengo hapa ni nyumbani kwa daniel yona nitazungukia hedaru na makanya kisha nalala same nitaangalia kama unayosema ni kweli.

Mimi mwenyeji wa Hedaru na nakubaliana na mleta hoja. CCM haipo Hedaru tena, na kwa jimbo la Same Magharibi, Hedaru ndo ilikuwa ngome ya CCM. Pale kazi imekwisha na mapinduzi lazima yaje mara moja ifikapo mwakani.
 
Hongera kwa kuona mabadiliko lakini ifikapo kwenye mtu akipatiwa tshirt na kanga na kilo ya sukari amebadilika . Inatakiwa elimu ya uraia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…