CHADEMA hebu mjibuni huyu kijana wa Moshi Mjini

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Siku ya jana tarehe 25 April 2015 kulifanyika mkutano Umoja wa Vijana wa (UVCCM) Moshi, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.

katika mkutano uliohudhuriwa pia na huo mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi, ambae pia ametangaza nia kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake alianza kwa kuuliza kwa maswali kwa chadema,

" nini walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah"

Swali hilo hilo kwa CCM kwa miaka 52 ya Uhuru mbali na wachaga kukazana wenyewe CCM wamefanya nini huko na Tanzania watueleze kwanza .Mleta udaku una akili ndogo sana unakurupuka bila tafakari ya kina ?
 
Siku ya jana tarehe 25 April 2015 kulifanyika mkutano Umoja wa Vijana wa (UVCCM) Moshi, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.
katika mkutano uliohudhuriwa pia na huo mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi, ambae pia
ametangaza nia kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake alianza kwa kuuliza kwa maswali kwa chadema, " nini walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah"
Wewe kwenu si pwani?!!???
 
Swali hilo hilo kwa CCM kwa miaka 52 ya Uhuru mbalia na wachaga kukazana wenyewe CCM wamefanya nini huko na Tanzania watueleze kwanza .Mleta udaku una akili ndogo sana unakurupuka bila tafakari ya kina ?
Kweli kakurupuka. Na huyo Obama wao kama kauliza hayo atakuwa anasaidia kuizika kabisa ccm.
 
Kwakuwa na yeye ni kiongozi wa ccm, ajibu haya kwa wana-Sikonge:

"nini walichokifanya ccm huku? Kipi cha maendeleo? ccm wamewafanyieni nini huku Sikonge? ccm waje hapa watueleze? wasilete blah blah"
 
Hizo Barabara za kiusa,solo la kiusa,sekondari ya kiusa na zahanati ya kiusa viliota kama uyoga? Asituzingue bana!
 
Siku ya jana tarehe 25 April 2015 kulifanyika mkutano Umoja wa Vijana wa (UVCCM) Moshi, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.
katika mkutano uliohudhuriwa pia na huo mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi, ambae pia
ametangaza nia kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake alianza kwa kuuliza kwa maswali kwa chadema, " nini walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah"

Kwa hiyo wewe ndiyo mrindoko?au umeanza kuwashwa kama kawaida bila kuitaja cdm?zzk amekwama kwao buzebazeba sasa act hamna la kufanya mnabaki kudandia gari moshi kwambele angalieni msiligonge treni kwani hamtasikilizwa
 
Kwakuwa na yeye ni kiongozi wa ccm, ajibu haya kwa wana-Sikonge:

"nini walichokifanya ccm huku? Kipi cha maendeleo? ccm wamewafanyieni nini huku Sikonge? ccm waje hapa watueleze? wasilete blah blah"

Mwambie huyu chumia tumbo ccm ina miaka 54 ktk utawala,kulikuwa na haja gani toka kwa watanzania kumlilia mbunge kuwajengea zahanati au kuwaletea maji au barabara?Inaonyesha kuwa ccm miaka 54 yote mlikuwa mnaiba rasilimali za watanzania bila kuwatimizia mahitaji yao? Wezi wakubwa ma ccm
 
Kweli kakurupuka. Na huyo Obama wao kama kauliza hayo atakuwa anasaidia kuizika kabisa ccm.

Na kwa taarifa huyo obama kwa moshi anajidanganya hawezi kupata hata ujumbe wa nyumba kumi kupitia ccm
 
Huyu Mrindoko anajisumbua tu Hata huko kwenye kura za CCM lazima atashika nafasi ya mwisho.CCM ambaye anaweza kupata angalao nusu ya kura za mgombea WA CHADEMA ni Athuman Ramole Buni au Elizabeth Minde. Wengine wataambulia aibu tu!
 
Siku ya jana tarehe 25 April 2015 kulifanyika mkutano Umoja wa Vijana wa (UVCCM) Moshi, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.
katika mkutano uliohudhuriwa pia na huo mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi, ambae pia
ametangaza nia kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake alianza kwa kuuliza kwa maswali kwa chadema, " nini walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah"

Huyo keshashindwa hata kabla ya uchaguzi wa oktoba 2015, kumbe hajui kwamba CDM ni chama cha ukombozi wa fikra na mtazamo wa maisha, na kwa hilo CDM imefanikiwa kwa asilimia 110 kwa wananchi wa Moshi kuupokea ujumbe wa ukombozi wa CDM na kuiwezesha kuushikilia ubunge wa Moshi mjini kwa kipindi kirefu namna hiyo licha ya ghiliba na hujuma za chama tawala ccm! Akumbuke kipindi cha ukombozi ni kazi moja kuwakomboa wananchi kwanza; madaraja, barabara, shule, hospitali, zahanati, maji nk, baadae watu wakishakuwa huru. Mwalimu Nyerere kuanzia mwaka 1953 mpaka 1961 hakuzungumzia miundo mbiu wala maendeleo ya aina na rangi yoyote ile isipokuwa UKOMBOZI tu! Kama huyo Obama feki halijui hilo, aendelee na biashara zake za ulanguzi asipoteze muda na fedha zake kuusaka ubunge, ataangukia pua tu.
Tukishaikomboa NJI nzima, Kazi phase 2 inaanza sasa ya kusafisha deadwoods za ccm, kubadilisha "ufisadi mentality" ambayo ndio work ethic ya masalia ya ccm kwenye sehemu za kazi, business as usual; Wizi na ujangili mtupu na kuanza upya kazi ya kufufua uchumi na kuwaletea wananchi maendeleo endelevu. Leo dollar 1 ya Marekani utaipata kwa shilingi za tz 1985/=; wenzetu Kenya dola 1 utapata kwa shs za kwao 94.01/=; haijafika hata shs 100! hapa kwetu Huo ndio ufanisi wa serikali ya ccm!? Obama feki ana maradhi ya ubongo.
 
Huwez mjibu mtu mwenye mtindio wa ubongo.....anajua...nn Chadema wanafanya .....pale Moshi mjini..ila tatizo.ubongo wake...
 
Siku ya jana tarehe 25 April 2015 kulifanyika mkutano Umoja wa Vijana wa (UVCCM) Moshi, mkutano huo uliofanyika katika viwanja vya maduka Mpangano-Kiusa Moshi Mjini.

katika mkutano uliohudhuriwa pia na huo mjumbe wa UVCCM mkoa Kilimanjaro Bw.Daudi Mrindoko aka Obama wa Moshi, ambae pia ametangaza nia kugombea ubunge katika jimbo la moshi mjini kupitia chama cha mapinduzi

Mrindoko alitumia muda mchache tu katika hotuba yake alianza kwa kuuliza kwa maswali kwa chadema,

" nini walichokifanya Chadema hapa? Kipi cha maendeleo? Chadema wamewafanyieni nini hapa Moshi? Chadema waje hapa watueleze? wasilete blah blah"

Moshi mjini bila ndesamburo hakuna ushindi wa chadema.lile zee hata kikwete anamuheshimu sana.chadema watakua na kazi pevu kutetea moshi kuliko ubungo
 
alipaswa aanze kwa kueleza CCM imeifanyia nini taifa kwa miaka 54, kisha imeifanyia nini moshi kwa miaka hiyo 54, akimaliza ndo aulize CHADEMA imefanya nini kwa miaka 20 hiyo
 
Na yeye Obama fake aka Mrindoko kama kiongozi wa CCM ameifanyia nini Moshi mjini asilete blah blah?

Is this not a case of kettle calling a pot black?
 
Huyu Mrindoko ni kilaza . Chadema hawana serikali. Kodi zote zinamilikiwa ba serikali ya ccm. Km chadema hawajafanya kitu ni kwasababu ccm central goverment wamekula hela zote waneshindwa kuleta pesa kwenye local gvnt zetu. Kazi ya madiwani na mbunge si kutoa hela zao mfukoni na kuzitumia kujenga barabara n.k. Hawa ndio viongozi wa ccm 1GB brain
 
Back
Top Bottom