CHADEMA hawataki ‘ujinga’, kumekucha

Kweli shida mkuu
Ndo maana wenye kufikiri saaaaaana, wanadhani kwa Tanzania hivi ilivyo, demokrasia haswa hii ya vyama vingi ilitakiwa isubiri kidogo. Bado sisi hatujakomaa ktk utaifa wetu. Hatuaminiani kabisa.

Si kwamba alifanya kosa kubwa mh. Mbowe kama lengo lilikuwa ni kuufuta ukaskazini wa cdm, ingawa kidemokrasia ni udhaifu. Tuwe wakweli, taifa lina ukanda, ukabila, udini nk. Kanda chache tu ndo hazina mambo hayo. Embu vuta picha kidogo, angefikia hatua gani mtu kama Msigwa kwa kanda ya kaskazini ktk uchaguzi ambao ole ameshiriki Nyasa?
 
Sasa kama mshindi amepata %58 weunasema hakubaliki manayake nini.
 
Atuchugai mtu kutokana na kabila lake, kama Mbowe analazimisha fulani achaguliwe au hasichaguliwe kutokana na kabila lake basi bado yupo kwenye ujima...
 
Kama umesimama pekee yako hukubaliki. Na ujue ni kwa shinikizo tu bila hivyo angepata hata 20%
Nimekuelewa kidogo, lakini let's make hizo 42% ndio zahuyo unaesema alikatwa.

So, bado anakubalika.
 
Hahahaha. Mnaopangiwa kaongee nini bila kufikiri mnakuwa wakali sana.

Kyama chenu ndo hiki. Mzee kachuja hadi vijana wameanza kumpiga mawe waziwazi. Kasome na post ya sarakasi za mwanahalisi na Ben saa8.
Mkuu harufu inayotoka makalioni kwako haitakiwi kutoka akilini mwako. Jitafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…