Hoja ya kijinga sana, kura zimepigwa Msigwa kapata hizo alizopata mlitaka wote wampigie kura Msigwa?Umesoma vizuri kilichoandikwa na kuelewa? Kura zilipigwa lkn ni za Ndiyo au Hapana, yaani kwa maana nyingine ilikuwa ni lazima Msigwa apite labda kama watu 100% wangepiga kura ya Hapana jambao ambao haliwezekani!
Hoja ya kijinga sana, kura zimepigwa Msigwa kapata hizo alizopata mlitaka wote wampigie kura Msigwa?
Chadema ni chama cha siasa, ni kikundi cha watu, wakikubaliana kupitia viongozi wake, kwamba Sosopi tusimpe nafasi hii kwa sababu hii na ile kuna ubaya gani? Mbona Sosopi mwenyewe ameridhika kwa kuwa sababu zilizotolewa aliridhika nazo, lakini ninyi kutwa nzima kujaribu kupunguza maumivu yanayotokana na "kuisoma namba" kwa kupigia kelele uchaguzi wa Nyasa, kana kwamba unawahusu, ebo!Hapana, ilitakiwa ashindashwe na sio kundolewa mpinzani huo ni Udikteta!
Kijarida chenyewe cha kimbwiga tu.Mzee Wassira na CCM nzima walimshindwa Mbowe sembuse kijarida cha wiki, mnapoteza nguvu zenu bure.
Kwani akina Sitta, Mwandosya, Lowasa, Ngeleja, Mwigulu, Wasira, Nyalandu nk. Walipata kura ngapi ktk kikao cha kuchuja wagombea urais wa CCM?
Kama hao wagombea waccm walipigiwa kura hata ya hapana au ndio basi tutaamini kweli Mbowe ni dikteta
Mh!! Mbowe Gundu limemnasaHahahaha. Mnaopangiwa kaongee nini bila kufikiri mnakuwa wakali sana.
Kyama chenu ndo hiki. Mzee kachuja hadi vijana wameanza kumpiga mawe waziwazi. Kasome na post ya sarakasi za mwanahalisi na Ben saa8.
Mzee Wassira na CCM nzima walimshindwa Mbowe sembuse kijarida cha wiki, mnapoteza nguvu zenu bure.
Tokea chadema ianze kusafisha mafisadi, sina hamu nayo
Ni shida kweli! Hata angeachiwa huyo mmasai apite bado wangesema tu na wangeendeleza hoja ya ukaskazini!