CHADEMA hawataki ‘ujinga’, kumekucha

Kumbe kura zilipigwa Msigwa akashinda kwa asilimia 58.49,akina Samweli Sitta na wenzake wasaka urais zaidi ya 30 kupitia CCM akiwemo mkulima masikini,walipata asilimia ngapi?.
 
Mzee Wassira na CCM nzima walimshindwa Mbowe sembuse kijarida cha wiki, mnapoteza nguvu zenu bure.
Kwanza haitoshi tuu kusema chanzo ni RAIA Mwema bila kusema Mwandishi wa makala hiyo ni nani. Mkuu kuna kampeni kubwa sana inafanyika kuonyesha kuna mgogoro ndani ya chama lakini huo mgogoro unasemwa na watu wa nje.
Vijana wa Chadema wanaiva kwanza kabla ya kupewa madaraka makubwa kama Mwenyekiti wa kanda na hilo KK ililiona na sio maamuzi ya Mbowe.
Chadema haina utaratibu wa hovyo kama Ccm inatookoteza viongozi wa Vijana ambao eti wakipata nafasi wanaenda kujipumzisha Mombasa kwa "wazee" wao.
Sosopi hajalalamika iweje watu wa Lumumba ndio wachukizwe na jina lake kuondolewa?
 
Matunguli yashaanza kuwabana naona na shanga nazo zimekaza kwa kuagua mambo ya Chadema...naona kilinge kimekosa wateja
 
Hahahaha. Mnaopangiwa kaongee nini bila kufikiri mnakuwa wakali sana.

Kyama chenu ndo hiki. Mzee kachuja hadi vijana wameanza kumpiga mawe waziwazi. Kasome na post ya sarakasi za mwanahalisi na Ben saa8.
mi nadhani magufuli kachuja zaidi ndo maana anapingwa kila kona ya nchi na mahotuba yake yamekosa mvuto. raisi mwaka mzima anahubiri kununua ndege tu. utadhani kwenye ilani yake ilikuwa ni ndege tu
 
Mtu mwenye akili timamu huwez shabikia chadema
Hii inawafaa wa2 ambao wanaendeshwa kiakili
 
Lowasa pia anachangia kushuka kwa umaarufu wa Mbowe mbali na mambo mengine. Vijana wa Chadema na wale Chadema mafuriko siku hizi wanamthamini Lowasa kuliko Mbowe.
 
Kumbe kura zilipigwa Msigwa akashinda kwa asilimia 58.49,akina Samweli Sitta na wenzake wasaka urais zaidi ya 30 kupitia CCM akiwemo mkulima masikini,walipata asilimia ngapi?.


Umesoma vizuri kilichoandikwa na kuelewa? Kura zilipigwa lkn ni za Ndiyo au Hapana, yaani kwa maana nyingine ilikuwa ni lazima Msigwa apite labda kama watu 100% wangepiga kura ya Hapana jambao ambao haliwezekani!
 
Sosopi hawezikuwa kiongozi Nyasa zone.Kusin iongozwe na wakusini

Sasa naelewa mantiki ya maamuzi ya Mbowe
 
Umesoma vizuri kilichoandikwa na kuelewa? Kura zilipigwa lkn ni za Ndiyo au Hapana, yaani kwa maana nyingine ilikuwa ni lazima Msigwa apite labda kama watu 100% wangepiga kura ya Hapana jambao ambao haliwezekani!
Kwani akina Sitta, Mwandosya, Lowasa, Ngeleja, Mwigulu, Wasira, Nyalandu nk. Walipata kura ngapi ktk kikao cha kuchuja wagombea urais wa CCM?

Kama hao wagombea waccm walipigiwa kura hata ya hapana au ndio basi tutaamini kweli Mbowe ni dikteta
 
Moja ya sababu za Ole Sosopi kuchukiwa na Mbowe ni tofauti zao kuhusu matumizi ya fedha za ruzuku.
 
Mzee Wassira na CCM nzima walimshindwa Mbowe sembuse kijarida cha wiki, mnapoteza nguvu zenu bure.
Huyu aliyeanzisha huu uzi lazima atakuwa ni mpambe wa Polepole. Lissu hawezi kupambana na Magufuli kwa sababu ataishia jela kama Lema. Magufuli anatakiwa afanyiwe siasa za kimya kimya ambazo Mashinji na Mbowe na Lowasa wanazifanya za mikutano ya ndani. Ukiwa mropokaji kwenye media kama Lissu na Lema unapotea siku mbili tu. Rais hataki ujinga wala mihemko.
 
Sahauni chadema ipo imara chini ya kamanda wa anga,freeman mbowe.peopleaa power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…