Chadema hawana vikao vya Chama?

Ile habari ya magari ya azania ilitua hapa na Slaa akaikurupukia juu kwa juu, tumeshuhudia post nyingi na thread juu ya thread zikiomba Zitto kufukuzwa nini kimetokea? Lissu amesema wameshamwandikia barua ya kujieleza hapo nadhani ndio mwanya mzuri wa kuchukua hatua.

Kumbuka kuwa ni sisi humuJF tuliomshawishi Slaa asikubali matokeo.

Hata za ufisadi zilitoka humu kama ndiyo kuna ubaya gani kuendelea kuitumia JF au kutumia habari zenye maana kwa faida ya taifa....
 
Naamini humu JF wapo watakao enda Segerea hivi punde wanaachiwa wale krismasi kwanza hata ukiwa upo upande gani wa dunia utafikiwa tu kama hamuamini waulizeni wataalam wa ze utamu. Ila sijui kama na mimi nimo au la maana sijaiona list.

Hapa JF kuna kashfa nyingi sana amezushiwa mkulu ametukanwa ile mbaya mbovu ushahidi upo na siku ikiwadia tutatafutana.
Acha kututisha nyangau wewe......
 
Back
Top Bottom