CHADEMA hawana jipya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA hawana jipya...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Jun 18, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,609
  Trophy Points: 280
  CCM wanasukuma kashfa lukuki kwa CHADEMA.Mara za ukabila,mara za udini,mara za ukanda,mara za vurugu na uvunjifu wa amani nk.CHADEMA wao hawana jipya.Hawana jipya zaidi ya nia madubuti ya kuleta mabadiliko ya kifikra,kiutawala na kimaendeleo kwa watanzania.Hawana jipya zaidi ya kuchukia wizi wa viongozi wa Serikali na washirika wao kwa matendo.Hawana jipya zaidi ya kuwaambia watu ukweli kuwa wachache na watoto wao ndio wanaotamba kuimiliki Tanzania.

  Hawana jipya zaidi ya kuiongoza nchi ya Tanzania wakiwa 'benchi' la upinzani.Hawachukii hata kidogo kuigwa na kuibiwa sera na Serikali iliyo madarakani.Wameyashikilia mambo hayohayo tangu mwaka 1992 hadi leo.Hawachoki,hawaachi...
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Heading yako ya leo LOL.......ujumbe umefika.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Kama sijaelewa vile!sijui nina kichwa cha panzi?!
   
 4. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wHAT??.....
   
 5. S

  STIDE JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu we mkalee!!! Kula Like maana umewakamata kina Ritz na Tume wamekuja fasta wakijua tajiri wao Nape kaongeza mamluki kumbe duh!! Wamenyong'onyea haoo!! ILA UKWELI WAMEENDA NAO JAPO HAWAJACOMMENT.
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mkama@work
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu; naamini kabisa una-suffer from the outcome of the ongoing 'twanga kotekote' reality ya CDM.

  Huna jipya except utulie na kuvumilia jinsi magamba yenu yanayopukutika.
   
 8. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,609
  Trophy Points: 280
  Kindly read between lines...
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,609
  Trophy Points: 280
  Nitakuwa nimedhani sawa kuwa hukusoma Fasihi...
   
 10. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mkuu umelonga!tehe!tehe!tehe!jibwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  ha ha ha haaaa umekuja kinamna nyingine siyo?
   
 12. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu achana nao, si unajua wtz tumezoea kutavuniwa kila kitu, mpaka uji tunadai tutavuniwe. Mtego mdogo wote wanaingia, kutoka shughuli?
   
 13. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Huna jipya zaidi ya ukilaza wa kutoelewa kile anachomaanisha mwanzisha uzi.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,200
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tittle yako ilinifanya niingie kwenye hii thread vidole vinanichezacheza huku badala ya kuandika nataka kusema kabisa lakini nilivyoisoma nikapata nguvu. sasa Ritz Rejao na Tume ya Katiba wameingia kwa furaha wailiposoma wakazimia ndio maana wameshindwa kucomment kwi! kwi! kwi! kwi!
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,198
  Likes Received: 10,540
  Trophy Points: 280
  Sipati picha kina Ritz, Rejao , Tume ya Katiba
  walivyokuja huku mate yakiwadondoka utadhani paka shume anayehara wakakutana na kisiki cha mpingo ngoma nzito, wakaanguka chini wote, shenzi type..
  Ahsante mleta uzi kwa ubunifu wa hali ya juu.
   
 16. M

  MTK JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  They have to stay the cause, stay focused, wangebadilisha foucus kama hayo wanayoyapigia kelele tangu mwaka 92 yangekuwa yamepatiwa ufumbuzi!! labda kama wewe unaona kwamba hayo yameshatatuliwa sijui!? ufisadi, rushwa, mikataba mibovu, police extra judicial killings, wizi wa raslimali za taifa, madini nyara za serikali, misitu, wanyama pori, Bajeti ya serikali isiyozingatia hali halisi ya mwananchi, mfumuko wa bei, nk. nk. kama wewe hayo si ya kuendelea kukemea basi mwenzetu wewe unaishi katika nchi ya kusadikika na wala sio Tanzania and that makes you a poor analyst and thinker. pole sana.
   
 17. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  mkuu niliingia kwa hasira kubwa lkn nimeishia kupga LIKE kubwa. ila umewakamata wengi
   
 18. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Unatakiwa ufikiri haraka but kwa umakini..hebu soma post ya mwanzisha thread halafu uelewe alichomaanisha,ukielewa ulivyoelewa mwanzo,basi una matatizo!
   
 19. m

  manucho JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tego la Re. . , Ri. . , Tume . . . . , Pan. . . . , etc. Mitini
   
 20. nyatofundi

  nyatofundi Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA WAKO FOCUSED TO THEIR VISION- KULETA MAENDELEO YA KWELI KWA WATANZANIA. HIVYO BILA RASLIMALI ZINAZOHUJUMIWA NA WACHACHE MAENDELEO YA KWELI NI NDOTO. kAMA PAKA SHUME AMEKWAPUA NYAMA YA WANO JIKONI INABIDI UMSAKE UMKAMATE ILI RUDISHI , VINGINEVYO WANAO0 WATALALA NA NJAA NA USIPOANGALIA WATAKUFA
   
Loading...