CHADEMA hawako serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA hawako serious

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salimia, Oct 16, 2011.

 1. S

  Salimia JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi ndivyo mnavyotumia ofisi zenu kujaza matikitii? Wenzenu wanavuna wanachama na kuimarisha matawi, ninyi mnajaza na kuuzia ofisi matikiti,, halafu mkishindwa (kupigwa asubuhi fasta) mnaanza kusingizia kuibiwa. Kuweni serious ili iwasaidie kuchukua nchi kihalali 2015,, la sivyo maandamano na matikiti hayatawasaidia.
   

  Attached Files:

 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na wewe acha ushamba, hiyo sio ofisi ya chadema, bali ni sehemu ya biashara ya mpenzi wa Chadema. Wewe ukiona tu bendera na maandishi wadhani ndo ofisi?
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  maelezo na picha tumeona sasa fanya haraka uende kuwashitaki huko ccm ili green guards waje na mapanga kuyaondoa matikiti maji
   
Loading...