mchambuzixx
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,292
- 943
Jamani kuna kitu kimenisikitisha na kimenihuzunisha, hivi hiki chama hakikuwa na uniformity ya mihuri haiwezekani kwa chama makini kama hiki chenye viongozi wa kanda kifanye madudu kama haya.
Kwa mfano Meatu mhuri badala ya kuandikwa CHADEMA unaandika"CDN" pamoja na kujua hila zote za CCM na kujua mapema mitego kama hiyo lkn yamefanyika madudu kama hayo.
Meatu wagombea wote wamepigwa chini kwa kosa hilo inasikitisha kwa kweli kule Same ndio hivyo tena.
Unajiuliza iweje Shinyanga Mjini wajaze vizuri Meatu waboronge? Ina maana kila mtu alikuwa anajijazia anavyojua yeye?
Sijajua hatua gani zimechukuliwa kuwapatia haki wananchi lakini huu ni uzembe mkubwa umefanyika. Mbona CUF hawakufanya madudu haya?
Labda mwenye jibu atatuambia.

hilo afadhali katika sehemu nyingine jina la chama limeandikwa vuri lakini kosa katika muhuri huo huo likaongezwa jina la Katibu wa chama ngazi husika lakini katika maeneo mengine pia jina la mgombea na chama ni chadema lakini mhuri umegongwa wa CUF
Jamani kuna kitu kimenisikitisha na kimenihuzunisha, hivi hiki chama hakikuwa na uniformity ya mihuri haiwezekani kwa chama makini kama hiki chenye viongozi wa kanda kifanye madudu kama haya.
Kwa mfano Meatu mhuri badala ya kuandikwa CHADEMA unaandika"CDN" pamoja na kujua hila zote za CCM na kujua mapema mitego kama hiyo lkn yamefanyika madudu kama hayo.
Meatu wagombea wote wamepigwa chini kwa kosa hilo inasikitisha kwa kweli kule Same ndio hivyo tena.
Unajiuliza iweje Shinyanga Mjini wajaze vizuri Meatu waboronge? Ina maana kila mtu alikuwa anajijazia anavyojua yeye?
Sijajua hatua gani zimechukuliwa kuwapatia haki wananchi lakini huu ni uzembe mkubwa umefanyika. Mbona CUF hawakufanya madudu haya?
Labda mwenye jibu atatuambia.
Watz wengi majizi tu....mihuri utaandikaje cdm?
Mkuu sidhani kama wanajitahidi sana kama unavyosema. Suala kama hili la muhuri mbona ni rahisi sana! Makao makuu kwanini wasiwe na jukumu la kutengeneza mihuri na kuisambaza kwa kila wilaya ili kuwe na unique ya aina fulani? Kwanini wasiandae check list ya vitu vyote vinavyotakiwa kutimizwa halafu wazimbaze kila kanda na knda ipeleke wilayani kwa mfano?Kusema kweli hakuna uchaguzi mgumu km wa huu wa serikali za mitaa hata kwa ccm yenyewe! Wagombea wenyewe huwa ni wakuokoteza,na wanaokubali unakuta hawajui chochote kuhusu siasa. Hali km hii ni rahisi kulaumu km hujafanya siasa za huko chini. Hata ccm wanafanya makosa mengi sana km hayo,lkn wao wanapewa taarifa na wasimamizi kabla hawajawekewa pingamizi na wanarekebisha mambo. Kumbuka watendaji wote wa vijiji na kata huwa wanaitwa kwenye vikao vya ccm na kupewa maelekezo. Chadema hata hivyo wanajitahidi sana!
Jamani kuna kitu kimenisikitisha na kimenihuzunisha, hivi hiki chama hakikuwa na uniformity ya mihuri haiwezekani kwa chama makini kama hiki chenye viongozi wa kanda kifanye madudu kama haya.
Kwa mfano Meatu mhuri badala ya kuandikwa CHADEMA unaandika"CDN" pamoja na kujua hila zote za CCM na kujua mapema mitego kama hiyo lkn yamefanyika madudu kama hayo.
Meatu wagombea wote wamepigwa chini kwa kosa hilo inasikitisha kwa kweli kule Same ndio hivyo tena.
Unajiuliza iweje Shinyanga Mjini wajaze vizuri Meatu waboronge? Ina maana kila mtu alikuwa anajijazia anavyojua yeye?
Sijajua hatua gani zimechukuliwa kuwapatia haki wananchi lakini huu ni uzembe mkubwa umefanyika. Mbona CUF hawakufanya madudu haya?
Labda mwenye jibu atatuambia.
Mkuu sidhani kama wanajitahidi sana kama unavyosema. Suala kama hili la muhuri mbona ni rahisi sana! Makao makuu kwanini wasiwe na jukumu la kutengeneza mihuri na kuisambaza kwa kila wilaya ili kuwe na unique ya aina fulani? Kwanini wasiandae check list ya vitu vyote vinavyotakiwa kutimizwa halafu wazimbaze kila kanda na knda ipeleke wilayani kwa mfano?
Kuna walio beba hela kwenye mifuko ya rambo kutoka stanbik na mpaka sasa hawajulikani.wakwenu wapo pia.