The Worshiper
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 302
- 89
Moja ya vitu ambavyo vimekuwa vikinifurahisha Na kuiamini CHADEMA ni Viongozi wao kuwa na kujenga utamaduni wa kuongea kweli. Mara zote wamekuwa wakijitahidi kutafuta kweli ya wanachotaka kukisema kabla ya kukisema. Hata katika harakati zao za kukiimarisha chama chao CHADEMA wamekuwa wakiegemea katika kweli.
Ni vigumu kukuta Viongozi wao kutoka ngazi ya juu mpaka chini wakiongea mambo yasiyo na facts ama ushahidi. Mara zote kweli imekuwa ikielezwa kweli.
Hii ni tofauti Na CCM ambayo harakati zake zote katika kukijenga chama chao zimejaa Uongo, uzushi, rushwa , ulozi, vitisho na hata kuhusishwa na vifo vya watu wakati mwingine. Mambo mengi ambayo yamekuwa yakisemwa Na Viongozi wa CCM huwa siyo ya kweli na yamejificha kwenye kivuli cha uongo na kila jambo wao limebezi katika propaganda. Kweli Kwa CCM huwa haielezwi kweli.
Ukichunguza na kuangalia kwa makini mambo yote yanayosemwa Na CCM juu ya CHADEMA ama upinzani(mifano ni mingi sana) hakuna lililowahi kuwa la kweli ni Uzushi; lakini hali ni tofauti inaposema CHADEMA huwa ni kweli tupu.
HIVYO; ukivipima vyama hivi katika mizania ya kweli, CCM mtaji wake mkubwa upo katika mambo yasiyo haki tofauti Na CHADEMA ama Upinzani ambavyo siku zote wamekuwa wakisimama kwenye kweli Na haki yote.