GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Watu wengine huwa mnawashwa kuandika chochote hata hakina miguu wala kichwa mara ngapi tumeaga miili ya waislam iliyokaa kwa motuali kwa muda mrefu Kawawa alikaa siku ngapi mbona hukuwalaumu CCM kuchelewesha na kuufanyia maonesho mwli wake.
Hapa tunazungumzia utaratibu, kama mwingine ameuvunja na ww ndio umuige ? Kwa Mungu wanaadamu wote ni sawa hajali pesa yako wala umaarufu wako bali ni matendo yako ndiyo yatakayo kuokoa au kukuangamiza
Kawawa alikaa siku ngapi.
Sasa kama ni matendo Muislam alokufa asiposwaliwa ipasavyo atapungukiwa mathawabu mbele ya Mola?
Je kulikuwa na mjadala kama huu baada ya mazishi ya Kawawa??
Kawawa alikaa siku ngapi kama ni utaratibu wa kiislam mbona hujibu?Utaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini
Kawawa alikaa siku ngapi kama ni utaratibu wa kiislam mbona hujibu?
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Acha kutuletea mambo ya maiti hapa JF thank you!
what a fact...mpe ukweli wake huyo.Hapo kwenye RED kama ndivyo uislamu unavyosema, basi nachukuwa fursa hii kumuombea radhi/samahani JK kwa kuufanya maonesho maiti ya Rashid mfaume kawawa, maana aliletwa pale karimjee na show ilikuwa ndefu kwa masaa mengi tu.
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!Nimekuuliza hata kama kawawa naye alikaa ndio utaratibu ? mie nipo huku arusha kwa kweli kitendo kile hakikuleta picha nzuri na tena baada ya mzazi wa marehemu kutaka kuuchukua mwili wa mtoto wake akazike , viongozi wa CHADEMA wakakataa eti asubiri maandamano ya mazishi , yeye mwenyewe haikuwa hiari yake ni shinikizo la viongozi wa CDM ili kujitafutia umaarufu wa kisiasa
Hapo kwenye RED kama ndivyo uislamu unavyosema, basi nachukuwa fursa hii kumuombea radhi/samahani JK kwa kuufanya maonesho maiti ya Rashid mfaume kawawa, maana aliletwa pale karimjee na show ilikuwa ndefu kwa masaa mengi tu.
Nakumbuka kuzunguka jeneza la Dr Omari pale Karimjee au unataka kuniambia ulikuwa msukule uleUtaratibu unasemaje ? Unakumbuka marehemu makamu wa Rais Dr. Omari Ali Juma mazishi yake ? yalifanyika haraka na wala hakukuwa na maonyesho huo ndio utaratibu. Kama mwenzako anakosea na ww ndio ukosee? kweli CHADEMA si watu makini