muhogomchungu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2011
- 375
- 3
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?
sio upupu, bali ni kitu ambacho ktk jamii ni muhimu kijadiliwendio dharura ilitokea sasa. Au unataka kuleta upupu gani hapa jamvini?
Kwani umeambiwa kuwa CDM hakuna Waislamu wanaofahamu maadili ya Kiislamu?
nawachukia sana wapuuzi wanaojitahidi kujenga dhana ya kuwakosananisha CHADEMA na waislam!!
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?
sio kuwakusanisha mzee, tatizo linapotekea lijadiliwe, chadema sawa na Cuf na CCM, sio waungu wanakosea, kama pakikosewa basi paongewe, ni chama cha siasa, sio chama cha mbinguninawachukia sana wapuuzi wanaojitahidi kujenga dhana ya kuwakosananisha CHADEMA na waislam!!
sio kuwakusanisha mzee, tatizo linapotekea lijadiliwe, chadema sawa na Cuf na CCM, sio waungu wanakosea, kama pakikosewa basi paongewe, ni chama cha siasa, sio chama cha mbinguni
crap
View attachment 20160
Usiku wa Septemba 25 mfalme Hussein wa Jordan alifariki na 26 akazikwa kwa kuwa muislam.
Pia mauji ya Pemba watu waliofariki walizikwa siku inayofuata kwa kuwa wote waliofariki ni madhehebu ya kiislam.
Unapokuwa karibu na waumini wa kiislam wanakwambia, kitu cha kwanza kufanyiwa baada ya kukamilika taratibu zote ni kupelekwa mahala pake pa milele yaani kaburini
Kwa upande wa madhehebu mengine kama baba wa taifa alikaa muda wa 2 week.
Lkn chadema wameuweka mwili wa madhehebu ya kiislam siku 6 sawa na madhehebu mengine jambo ambalo ktk mtazamo wa kiislam sio nadra kutokea labda patokee dharura.
jee chadema hawakukiuka maadili?hawakuona haja ya kuuzika mapema?
Maadili ya nani? Nafikiri huelewi hata maana ya maadili...simply poi ting finger to CDM doesnt really help anyone even yourself maana people know how to distinguish the right from the wrong. hata argument yako is contradictory, why not read again esp bold red...wewe ni kichekesho maana kama hoja zako ni za aina hii na pia lugha ndio kama ilivyo hapo juu, I am sure no one will ever take you seriously, on the contrary, utakuwa unajitapakazia shame
ok, hoja hii inaweza ikawa kubwa mbeleni
sio upupu, bali ni kitu ambacho ktk jamii ni muhimu kijadiliwe
jee ingalimzika yule baadae wakafuata hawa ingalikuwaje?Maadili ya nani? Nafikiri huelewi hata maana ya maadili...simply poi ting finger to CDM doesnt really help anyone even yourself maana people know how to distinguish the right from the wrong. hata argument yako is contradictory, why not read again esp bold red...wewe ni kichekesho maana kama hoja zako ni za aina hii na pia lugha ndio kama ilivyo hapo juu, I am sure no one will ever take you seriously, on the contrary, utakuwa unajitapakazia shame
Halafu kikishajadiliwa?
ni kubwa kama muislam, ni dogo kama utakuwa sio muislamitakua kubwa kwa waliolishwa ujinga badala ya elimu vichwani,lakini kwa waelewa na hata waislam wafuata dini ila wenye elimu vichwani hii si hoja ya kujadili ila ni rubbish tu