Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
Kwa muda mrefu tumekuwa tukieleza hapa jamvini na hata kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa wapo viongozi wakubwa ndani ya vyama vya siasa ambao wanafanya ubadhirifu na kutumia pesa ya ruzuku kwa manufaa binafsi, lakini kama ilivyo kawaida ya waliofunga masikio na mioyo yao tukaambulia matusi na hata ban hapa jamvini. Lakini waswahili wanasema "sikio la kufa halisikii dawa" kama tungelisikilizwa kipindi kile na watu wale wakajirekebisha na kuacha tabia ya kugeuza chama cha siasa kuwa SACCOS yao binafsi basi hatari inayowakabili sasa isingelikuwa mbele yao.
Taarifa zilizopo mtaani na kila kwenye chombo cha habari ni juu ya Mwenyekiti wa PAC na Naibu katibu mkuu wa Chadema ndugu Zitto Kabwe kuahidi kuwapeleka mahakamani wale wote watakaodhihirika kuwa wamefisidi na kutumia pesa ya ruzuku ya chama kwa maslahi binafsi, baada tu ya kufanya ukaguzi kwenye vyama husika. Kwa wale tunaofahamu ukweli ni kuwa ukaguzi huo hautakiacha salama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa maana yupo babu mtu mzima na kiongozi mkubwa wa Chadema ambae tunao ushahidi wa maandiko lakini pia ushahidi wa kauli yake kuwa amejikopesha pesa za ruzuku ya Chama. Sasa ataeleza kama lengo na matumizi ya ruzuku ni kukopeshana..? na kwa bahati mbaya maelezo haya ataenda kuyanyoosha vizuri akiwa kisutu.
Kimsingi ni lazima kila mtanzania regardless chama anachotokea, dini anayoiamini ama itikadi anayosimamia ni LAZIMA awe mstari wa mbele kuhakikisha kuwa anaitetea na kuilinda TANZANIA, kwa maana anaonyesha uzalendo na upendo wa kweli kwa TAIFA kwa kuwataja hadharani na hata kupeleka vielelezo mahakamani juu ya wale wote wanaofisidi na kula mali ya umma kwa vigezo na trick mbalimbali.
Nakuunga mkono zitto na natuma salamu kwa Babu ajiandae kukabiliana na PILATO wa Kisutu.
ooh! Ni nini mandate ya msajili kulingana na sheria hiyo?
Huyo auditor umejuaje kama sio accredited?
Halafu kama ndivyo unavyosema then kosa hapa ni la chadema,registrar au cag?

You must be a fool, hao CCM wana usafi gani? unaongelea kukopa ruzuku, wakati watu wamepiga deal za EPA, KAGODA, USWISS, RICHMOND we nitatizo, ama kweli nyani haoni .... kuna chama kilichooza kama chama cha mafisadi. ua unapost ili ujipatie buku 7?Kwa muda mrefu tumekuwa tukieleza hapa jamvini na hata kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa wapo viongozi wakubwa ndani ya vyama vya siasa ambao wanafanya ubadhirifu na kutumia pesa ya ruzuku kwa manufaa binafsi, lakini kama ilivyo kawaida ya waliofunga masikio na mioyo yao tukaambulia matusi na hata ban hapa jamvini. Lakini waswahili wanasema "sikio la kufa halisikii dawa" kama tungelisikilizwa kipindi kile na watu wale wakajirekebisha na kuacha tabia ya kugeuza chama cha siasa kuwa SACCOS yao binafsi basi hatari inayowakabili sasa isingelikuwa mbele yao.
Taarifa zilizopo mtaani na kila kwenye chombo cha habari ni juu ya Mwenyekiti wa PAC na Naibu katibu mkuu wa Chadema ndugu Zitto Kabwe kuahidi kuwapeleka mahakamani wale wote watakaodhihirika kuwa wamefisidi na kutumia pesa ya ruzuku ya chama kwa maslahi binafsi, baada tu ya kufanya ukaguzi kwenye vyama husika. Kwa wale tunaofahamu ukweli ni kuwa ukaguzi huo hautakiacha salama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa maana yupo babu mtu mzima na kiongozi mkubwa wa Chadema ambae tunao ushahidi wa maandiko lakini pia ushahidi wa kauli yake kuwa amejikopesha pesa za ruzuku ya Chama. Sasa ataeleza kama lengo na matumizi ya ruzuku ni kukopeshana..? na kwa bahati mbaya maelezo haya ataenda kuyanyoosha vizuri akiwa kisutu.
Kimsingi ni lazima kila mtanzania regardless chama anachotokea, dini anayoiamini ama itikadi anayosimamia ni LAZIMA awe mstari wa mbele kuhakikisha kuwa anaitetea na kuilinda TANZANIA, kwa maana anaonyesha uzalendo na upendo wa kweli kwa TAIFA kwa kuwataja hadharani na hata kupeleka vielelezo mahakamani juu ya wale wote wanaofisidi na kula mali ya umma kwa vigezo na trick mbalimbali.
Nakuunga mkono zitto na natuma salamu kwa Babu ajiandae kukabiliana na PILATO wa Kisutu.
Acha kelele we bavicha kama unaushahidi wa hayo unayosema weka ushahidi vinginevyo wewe na Lisu ni walewale tu.You must be a fool, hao CCM wana usafi gani? unaongelea kukopa ruzuku, wakati watu wamepiga deal za EPA, KAGODA, USWISS, RICHMOND we nitatizo, ama kweli nyani haoni .... kuna chama kilichooza kama chama cha mafisadi. ua unapost ili ujipatie buku 7?
we ndiyo juha, hii yakutafuna ruzuku ni ya CCM bado hamjatambua hilo, timewill tell! kuhusu maswala ya wizi wa KAGODA kamuulize ushahidi aliye sema walioiba warudishe kisha awasamehe, kuna ushahidi zaidi ya huo? CCM ni chama kichafuAcha kelele we bavicha kama unaushahidi wa hayo unayosema weka ushahidi vinginevyo wewe na Lisu ni walewale tu.
Lakini ukweli ni kwamba kashifa hii chadema hawakwepi hasa slaa ambaye kila siku anajikopesha hela za chama.
Haya maneno yanaukweli ndani yake sasa kwa nini hawa chadema wanafanya haya madudu wanayofanya?Itabidi aeleze ilikuaje Ruzuku ya Chama itumike kugharamia Picnic ya Mahawara huko Marekani kwa wiki kadhaa,Kanuni ipi ilitumika Slaa kuomba Mkopo chadema,Halafu Katibu Slaa akaipitisha tena mkopo usio na Riba, Mshahara wa Mil 7 ulipitishwa kwa vigezo gani?Mbowe itabidi ajieleze ilikuaje akauzia Chama Canter lake mkweche la kubebea maspika kwa mil 500, Mrs Mushumbuz ilikuaje bila ya kufuata taratibu za fedha kuuzia Chama Accounting Package kwa Mil 10? Inakuaje House girl wa Nyumbani kwa Josephine agharimiwe kwa fedha za Ruzuku? Inakuaje Ofisi za Mikoa ya Kaskazini inapelekewa Ruzuku japo kiduchu lakin mikoa ya Magharibi na Kanda ya Ziwa inajiendesha kwa kutembeza Kopo kwa wanachama? Sasa mtoto hatumwi Dukani maana hata ajira za Mtaa wa Ufipa zinapatikana kwa Ruhusa ya Josephine Mushumbuz Hawara na Kimada wa Katibu Mkuu!
Mimi bavicha kwanza sipendi hata kujibishana nao make hamna akili mtaishia kutukana tu nikome kabisa kama umevurugwa kivyako na chama chenu cha ukoo.we ndiyo juha, hii yakutafuna ruzuku ni ya CCM bado hamjatambua hilo, timewill tell! kuhusu maswala ya wizi wa KAGODA kamuulize ushahidi aliye sema walioiba warudishe kisha awasamehe, kuna ushahidi zaidi ya huo? CCM ni chama kichafu
Kwa muda mrefu tumekuwa tukieleza hapa jamvini na hata kwenye majukwaa ya kisiasa kuwa wapo viongozi wakubwa ndani ya vyama vya siasa ambao wanafanya ubadhirifu na kutumia pesa ya ruzuku kwa manufaa binafsi, lakini kama ilivyo kawaida ya waliofunga masikio na mioyo yao tukaambulia matusi na hata ban hapa jamvini. Lakini waswahili wanasema "sikio la kufa halisikii dawa" kama tungelisikilizwa kipindi kile na watu wale wakajirekebisha na kuacha tabia ya kugeuza chama cha siasa kuwa SACCOS yao binafsi basi hatari inayowakabili sasa isingelikuwa mbele yao.
Taarifa zilizopo mtaani na kila kwenye chombo cha habari ni juu ya Mwenyekiti wa PAC na Naibu katibu mkuu wa Chadema ndugu Zitto Kabwe kuahidi kuwapeleka mahakamani wale wote watakaodhihirika kuwa wamefisidi na kutumia pesa ya ruzuku ya chama kwa maslahi binafsi, baada tu ya kufanya ukaguzi kwenye vyama husika. Kwa wale tunaofahamu ukweli ni kuwa ukaguzi huo hautakiacha salama chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwa maana yupo babu mtu mzima na kiongozi mkubwa wa Chadema ambae tunao ushahidi wa maandiko lakini pia ushahidi wa kauli yake kuwa amejikopesha pesa za ruzuku ya Chama. Sasa ataeleza kama lengo na matumizi ya ruzuku ni kukopeshana..? na kwa bahati mbaya maelezo haya ataenda kuyanyoosha vizuri akiwa kisutu.
Kimsingi ni lazima kila mtanzania regardless chama anachotokea, dini anayoiamini ama itikadi anayosimamia ni LAZIMA awe mstari wa mbele kuhakikisha kuwa anaitetea na kuilinda TANZANIA, kwa maana anaonyesha uzalendo na upendo wa kweli kwa TAIFA kwa kuwataja hadharani na hata kupeleka vielelezo mahakamani juu ya wale wote wanaofisidi na kula mali ya umma kwa vigezo na trick mbalimbali.
Nakuunga mkono zitto na natuma salamu kwa Babu ajiandae kukabiliana na PILATO wa Kisutu.
Asante Mura,Kupeleka tu mahesabu inaonyesha kwamba wanajua wajibu wao.
Bila shaka umemsikia CAG anasema kwamba hana fungu la kufanyia audit vyama vya siasa.
Kwahiyo kwa namna yoyote ile Chadema haiwezi kulaumiwa,labda sasa ni muda muafaka bunge litenge bajeti ya kufanyia audit vyama vya siasa kwakuwa kwa kufanya hivyo ndipo mzizi wa fitna utakuwa umekatwa.
Kwa wale ambao vitabu vyao ni vichafu hata hizo audited report wanazodai kuwa nazo hazijafikishwa ofisini kwa msajili kwahiyo hata wao ccm hawajakaguliwa. #FACT
Haha Zitto kajishika pabaya mwenyewe kakosea kuendeleza libeneka kageuza mjadala wa vyama vyote kuwa wa chama chake na haswa katibu mkuu mmoja anakataa hata vielelezo vilivyotolewa na chama chake anajitahidi kuwaaminisha wananchi kwamba yeye si sehemu ya chadema akiambiwa hana akili za propaganda huwa anafura simply zitto ni mjinga siku zote hajawahi tengeneza plot ikafanikiwa hii imekufa kabla haijaanza yeye angeshikilia vyama vyote mpaka siku akiwaita mbele ya kamati awavae kisawasawa sasa anamuacha CAG,Msajili,Serikali Kuu na vyama vingine nane yeye yuko na chadema kasha jizika kawa maiti iliyosimamaSakata linaloendelea nchini la ruzuki ya vyama vya siasa bila ya chembe ya shaka ni kaburi la Dr. Slaa! Naona Zitto kaamua kulipiza kisasi na safari hii kamkamata vibaya Dr. Slaa na hata Mbowe mwenyewe! Ziko taarifa za uhakika za Dr. Slaa kuchota zaidi ya 200mill kwa ajili ya safari yake ya Ulaya ambayo bado hajarudi!
Zitto alipohoji kajibiwa aache kiherehere kwani hayamuhusu. Si mara ya kwanza anajibiwa hivyo ndio maana akaamua kutafuta kamba ya kuwamaliza wabaya wake!
Kinachosikitisha tu ni kuwa anatumia nguvu kubwa kutoboa mtumbwi ambao hata yeye amepanda ndani yake!!
kinachonikera ni wale wanaojifanya siku zote wana uchungu na nchi na huchukia ufisadi wa fedha za umma wako mstari wa mbele kuhalalisha uharamia huu wa vyama vya siasa! Huu ni unafiki, undumilakuwili na upuuzi first class!