CHADEMA hawafai kupewa nchi sababu ni waongo

CHADEMA hawafai kupewa nchi sababu ni waongo

jogoo_dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
2,196
Reaction score
1,940
Chadema hawafai kupewa kuwa viongozi wa nchi hii sababu ni waongo. Walitumia nguvu nyingi sana kutuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi, Mungu aliye juu ndiye anajua kama ni fisadi au la maana naona kwa sasa wanasiasa wanachafuana tu, hamna anayesema ukweli. Ila kuna uwezekano kuwa hawa CHADEMA walituambia uongo watanzania wote kwa kumsingizia Lowassa na kwa hali niionavyo kuna uwezekano mkubwa kuwa walimsingizia Lowassa, hivyo kama taasisi hawafai kuchaguliwa sababu wamekijenga chama katika misingi ya uongo.

Nitampigia kura Magufuli na CCM yake kwa sababu CHADEMA siwaamini na ni waongo ila Magufuli naona kama namuamini.
Lowassa Mungu anajua kama ni fisadi au la na kama si kweli basi Mungu amjaze hekima na ujasiri na afya tele, ila suala la urais kwa sasa sio lake. Labda 2020, taasisi imemuangusha.
 
Hivi wakiweka video za wakati lowasa anachafuliwa miaka ile saba ikawepo document itakuwaje?????
 
hivi nyie lowassa/Ukawa ni kipau mbele chenu? kwenye kampeni zenu ni lowassa/ukawa radio zenu ni lowassa/ ukawa.
 
Umechelewa sana mdogo wangu.Mpaka wakati huu Lowassa ndiye Mh.Rais wa Tanzania.Wanachokifanya CCM ya Magufuli ni kutuongezea kura katika kila mkutano wanaoufanya.
 
Mi wakati nilipoaminishwa lowassa fisadi niliamini lakini nikaona haina maana tena mana ni kama kumpigia mbuz gitaa akuna hatua nikaona hana hatia sasa amekuja upande wng wale walioona hana hatia leo wanasema eti fisadi mi nampa kula lowassa mana trick nayotumia ya mpira wa miguu ukipigwa mtama ukirudisha hapo hapo we ndo umecheza faulo kwaiyo chadema alisema uongo lkn uongo huo leo unasemwa na ccm wakae pembeni co mda wa kuwasikiliza wakat wao wanakula raha tu
 
Hivi kuna watu waongo nchi hii zaidi ya watawala wa nchi hii?

Uthibitisho wa hilo ni majuzi tu tulimsikia Mkurugenzi wa shirika la Umma la serikali ya CCM, shirika la umeme la TANESCO Engineer Mramba alipoongea kwa kujiamini kupita kiasi kuwa suala la mgao wa umeme litakuwa historia baada ya gesi ya Mtwara kupitia kwenye bomba jipya lililojengwa na wachina kuanza kufika Dar na hivyo kufanya mitambo mitatu ya kufua umeme ya Kinyerezi na Ubungo kuanza kuzalisha umeme unaofikia megawati zaidi ya 300 ambazo tayari zimeshaanza kuingizwa kwenye gridi ya Taifa.

Sasa huu mgao wa umeme wa 'kufa mtu' unaoendelea kote nchini haijawa uthibitisho kuwa viongozi wanaoongoza kwa uwongo hapa nchini ni kutoka serikali hii ya chama tawala cha Sisiem?
 
Wakatawale Monduri na hai na vunjo ndo waendeleza utawala wa kikanda lakini kwetu siye tunataka chama cha kitaifa CCM
 
Chadema hawafai kupewa kuwa viongozi wa nchi hii sababu ni waongo. Walitumia nguvu nyingi sana kutuaminisha kuwa lowassa ni fisadi, Mungu aliye juu ndiye anajua kama ni fisadi au la maana naona kwa sasa wanasiasa wanachafuana tu, hamna anayesema ukweli. ila kuna uwezekano kuwa hawa chadema walituambia uongo watanzania wote kwa kumsingizia Lowassa, na kwa hali niionavyo kuna uwezekano mkubwa kuwa walimsingizia lowassa, hivyo kama taasisi hawafai kuchaguliwa sababu wamekijenga chama katika misingi ya uongo.
Nitampigia kura Magufuli na ccm yake kwa sababu chadema siwaamini na ni waongo ila Magufuli naona kama namuamini.
Lowassa Mungu anajua kama ni fisadi au la, na kama si kweli basi Mungu amjaze hekima na ujasiri na afya tele, ila suala la urais kwa sasa sio lake. Labda 2020, taasisi imemuangusha.

ntaungana na ww katika kuhakikisha kuwa rais anakuwa magufuli,kwanza anaaminika ,pili siyo mwizi ,tatu mwadilifu,nne hana vinasaba vya rushwa na ufisadi.
 
Wanaoiamini chadema kwa sasa ni vichaa peke yao na malofa.
 
CCM baba na babu wa waongo, mmeongopea watanzania kwa Miaka 54, imetosha, kaeni pembeni. MABADILIKO NI INEVITABLE
 
Bado mnaweweseka na hilo?????

Hivi unajua kwanini ccm wanahofia kuiachia nchi?????? waulize wanajua watz watujua mengi na watalia na kuomboleza kwakufanywa maskini.
 
Ahsante ila kura tutamla lowasa tu.
ahsante sana kwa taarifa yako kama ukipata nyingine tuletee tu usijali.

#viva lowasa.
 
Hivi wakiweka video za wakati lowasa anachafuliwa miaka ile saba ikawepo document itakuwaje?????

Itakuwa ni aibu tu kwa chadema, ila kwa lowassa ni kifua mbele sasa hivi.
Sijajua swali lako liko unaposema itakuwaje, ni kisheria au?
 
chadema hawafai kupewa kuwa viongozi wa nchi hii sababu ni waongo. Walitumia nguvu nyingi sana kutuaminisha kuwa lowassa ni fisadi, mungu aliye juu ndiye anajua kama ni fisadi au la maana naona kwa sasa wanasiasa wanachafuana tu, hamna anayesema ukweli. Ila kuna uwezekano kuwa hawa chadema walituambia uongo watanzania wote kwa kumsingizia lowassa, na kwa hali niionavyo kuna uwezekano mkubwa kuwa walimsingizia lowassa, hivyo kama taasisi hawafai kuchaguliwa sababu wamekijenga chama katika misingi ya uongo.
Nitampigia kura magufuli na ccm yake kwa sababu chadema siwaamini na ni waongo ila magufuli naona kama namuamini.
Lowassa mungu anajua kama ni fisadi au la, na kama si kweli basi mungu amjaze hekima na ujasiri na afya tele, ila suala la urais kwa sasa sio lake. Labda 2020, taasisi imemuangusha.
watanzania mmelogwa wakati wanasema wamejitakasa ccm wameuza hisa tbl kimyakimya bado unaona wanafaa,watanzania heji ushabiki wa kijinga.
 
chadema hawafai kupewa kuwa viongozi wa nchi hii sababu ni waongo. Walitumia nguvu nyingi sana kutuaminisha kuwa lowassa ni fisadi, mungu aliye juu ndiye anajua kama ni fisadi au la maana naona kwa sasa wanasiasa wanachafuana tu, hamna anayesema ukweli. Ila kuna uwezekano kuwa hawa chadema walituambia uongo watanzania wote kwa kumsingizia lowassa, na kwa hali niionavyo kuna uwezekano mkubwa kuwa walimsingizia lowassa, hivyo kama taasisi hawafai kuchaguliwa sababu wamekijenga chama katika misingi ya uongo.
Nitampigia kura magufuli na ccm yake kwa sababu chadema siwaamini na ni waongo ila magufuli naona kama namuamini.
Lowassa mungu anajua kama ni fisadi au la, na kama si kweli basi mungu amjaze hekima na ujasiri na afya tele, ila suala la urais kwa sasa sio lake. Labda 2020, taasisi imemuangusha.
watanzania mmelogwa wakati wanasema wamejitakasa ccm wameuza hisa tbl kimyakimya bado unaona wanafaa,watanzania acheni ushabiki wa kijinga.
 
Back
Top Bottom