chadema hawaeleweki

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
walikuwa wanadai kuibiwa kura leo wanataka katiba mpya. Slaa anataka wakae meza moja na serikali kutafuta suluhisho. Chadema wanachodai sasa ni kipi.
 
Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Wanataka umarufu binafsi ,kwakuwa Chadema bado hakijawa chama

In fact Chadema wanaweza kuwa defined as club ya watu toka eneo moja la Tz,wakiwa ni wafanyabiashara wenye lengo la kutumia siasa na wanachama wao kuendeleza maslahi binafsi na biashara zao.
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,280
4,456
In fact Chadema wanaweza kuwa defined as club ya watu toka eneo moja la Tz,wakiwa ni wafanyabiashara wenye lengo la kutumia siasa na wanachama wao kuendeleza maslahi binafsi na biashara zao.

Pumba
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,518
6,109
In fact Chadema wanaweza kuwa defined as club ya watu toka eneo moja la Tz,wakiwa ni wafanyabiashara wenye lengo la kutumia siasa na wanachama wao kuendeleza maslahi binafsi na biashara zao.

kama ambavyo ilivyo clun yenu ya mapunga!!!
 
Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Is not the matter of kalagabao. They daily come with a new demand. What made them to go out of the bunge was matokeo ya urais. Leo wanaongelea katiba. Slaa wants to make reconciliation on what with the government.
I dout if they realy had a clear agreement on what to demand from the goverment.
 
oba

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
309
65
Chadema ako makini, wanaweka maslahi ya taifa mbele, mabadiliko ya madai yote unayosema yanalenga kitu kimoja; kustawisha jamii ya watanzania
 
Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
Nadhani ni maslahi ya chama mbele. Up to now they are not consistance on their demand.
Is there any conflict with the goverment or wanajishuku kutafuta suluhu kwa walicho kifanya. Katiba ni bungeni. Na sheria za uchaguzi ni bungeni. Kuomba kuketi na serikali ni waliruka hiyo hatua. Baada ya kuharibu sasa wanataka majadiliano
 
bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
5,052
2,964
In fact Chadema wanaweza kuwa defined as club ya watu toka eneo moja la Tz,wakiwa ni wafanyabiashara wenye lengo la kutumia siasa na wanachama wao kuendeleza maslahi binafsi na biashara zao.

aisee mangi tuheshimiane
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom