CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

hama kwel umekurupuka kaa chn ufkr,maana ungeangalia taarfa ya habar ya jana ucngeongea haya unayoongea na kuadika,ungemsikiliza mbowe na lema nafkr ungeelewa ucngeandika upuuzi huu!!!!!!!
 
da hicho kingereza ''i do not support neither party''
 
IPTL,DEEP GREEN,KAGODA,MEREMETA,DOWANS,RICHMOND,STIMULUS PACKAGE,KIWIRA"Hawa ndo wanaaminika"
 
Ahahahah!! Nikipata muda taipitia
Kijana mbona unaweweseka na mimi? unadhani mimi kutokuwepo hapa JF kwa kitambo unadhani hii ni multi ID ya mtu mwingine? wewe kama huna shughuli za kufanya ndio utakaa hapa JF 24/7. mimi ni mtu mzima na nina familia inahitaji nitoe huduma na sio kuja kutumiwa na wanasiasa hapa JF.
So watch ur mouth.
 
kuna uwezkano kukuwa na ugumu wa kufanya maamuzi naomba kila mjumbe aliejaribu na kua katika majadiliano au ni wale madiwani ambao chama changu na dr kilisema wanatakiwa kuonywa
 
Leo wamesema bungeni posho ziongezwe mpaka ifike shs laki tano!
 
Makenge wengine bana, wana magamba ya sehemu za siri! Wasaidieni!
 

Hahahahaha Jamaa kiazi huyo! kanipachika ID ya Mchungaji Masanilo na ya Saigon, Kumkata ngebe nimempa kuwa nina ID 23, Kamikaze Tactics
 
Hatimaye zimepaki siku 9 za wale watu wa magamba kujivua gamba,hatujaona chochote kile mpaka sasa,hii ni aibu ya NAPE,MKAMA,MKWEREE.
 
Wewe ndiye huaminiki na MAGAMBA wenzako mana zimebaki siku 9 za kujivua gamba na hakuna lolote,KAGODA,MELEMETA,DEEP GREEN,MINING DEVELOPMENT,RICHMOND,EPPA,vyote hivyo watu wa magamba nani atawaamini,ANGUKO LA CCM LIMETIA.
 

Sasa wewe na CHADEMA nani haaminiki? watu wengine bwana sijui mna matatizo gani..Acheni kuwa watumwa wa CCM na uchafu wake....
 
Hahahahaha Jamaa kiazi huyo! kanipachika ID ya Mchungaji Masanilo na ya Saigon, Kumkata ngebe nimempa kuwa nina ID 23, Kamikaze Tactics
Ahahahaha!! Nimecheka! Mbona unaangaika naona unaandika post halafu unajibu mwenyewe! Ahahahah! Rev Masanilo bana!!
 
Habari yako bana! Rev Masanilo aina majotooooo!! Unanikumbusha ile stori ya Nyerere na Kawawa!! Ahahahaha!!
 
Sasa wewe na CHADEMA nani haaminiki? watu wengine bwana sijui mna matatizo gani..Acheni kuwa watumwa wa CCM na uchafu wake....

Mkuu hawa cku yao inakuja tu wasubiri ccm yao iwafie mikononi.
 

Kwa swala hili, esp kwa madiwani ni tatizo kubwa sana either hapo kuna mkono wa mtu kwani madiwani wengi wa chadema nao ni njaaaa nalisema hili na liko wazi nchi hii kuna wengine nao ni kama msfara wa mamba kenge wamo ndipo hapo wanapo halibu spirit of struggle.

Sasa CDM ndio wajionee sasa kuna watu walisha rubuniwa jamani haiwezekani mkawa mko kwa vikao vya muafaka then makubaliano yakapitishwa then nyie madiwani hamjalichukuwa hili swala kwa viongozi wenu either CCM,TLP,CDM matokeo yake hao hao madiwani ndio wakawa wawakilishi wa viongozi wao na kubariki muafaka bila viongozi wao wa juu, huku hawa madiwani wame sahau kulikuwa na mauaji ya raia ni kitu gani hiki? still hakiingii akili mwa watu Mhs.LEMA sio mjinga kutokutambua huo muafaka watu mtadhania ni mkorofi bali sio hali halisi ni kuwa kuna jambo limetembea/tendeka chini chini kwa madiwani hapo na chakushangaza muafaka gani watu wame maliza kukubaliana na siku hiyo hiyo kukawa na part jioni ya kusherehekea huo muafakaa this is zero kabisa hao walio ubariki muafaka watuambie kwanini walikimbilia kwa Meadia? na kwataarifa yenu vyombo vya habari hapo arusha ni vichache sana vinavyo tizama maslahi ya wananchi bali vingine ni kukesha na kuingia maofisini mwa watu na kupewa umbea na posho kuandika habari, wananchi wanategemea vyombo vya habari kufikisha ujumbe wa manufaa kwa wananchi na sio kuwarubuni.

Media hapo arusha muamke acheni kuwa watumwa wa kundi la watu fulani kuweni wazi acheni kuganga njaaa, hebu jifunzeni kwa wenzetu hapo Kenya na Uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…