Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,781
- 5,957
Magaidi ni polisi aisee?Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Lila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Mnataka kupeleka mahitaji gani wakati Makamu Mkiti amesema kama chama hawatafanya chochote wanawaachia polisi wafanye wanachotaka wao? Mbona mnapingana wenyewe kwa wenyewe?Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Umeelewa kweli kilichoandikwa?? Wewe ndiyo mtaji wa CCM kwa huo ujinga wakoLila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
Kama unauelewa sana nenda kamtoe kamanda wako, tetesi zenu za kila saa hazitasaidia.Umeelewa kweli kilichoandikwa?? Wewe ndiyo mtaji wa CCM kwa huo ujinga wako
Wewe baba yako bora angepiga punyeto au mama yako bora angefanya abortionKama unauelewa sana nenda kamtoe kamanda wako, tetesi zenu za kila saa hazitasaidia.
Katoka kayafa kaingia naninii.. Hii ni ni bandika bandua aisee....!!!Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.
Inaitwa wasted maniiiWewe baba yako bora angepiga punyeto au mama yako bora angefanya abortion
Nenda kaandamane wewe, acha kukaa hapa na kupiga porojo kila siku.Watajuta kumshikilia.
Bado sijakupataLila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
Wewe shida yako nini?Nenda kaandamane wewe, acha kukaa hapa na kupiga porojo kila siku.
Nenda ukabet wewe,acha mambo yako ya kiwaki.Lila siku mnakuja na jipya,mara yuko polisi na hawataki apatiwe chakula na ndugu,mara hajulikani alipo, mara wanataka kumpa simu.....CDM badilikeni, hizi janjajanja zenu za kuamsha mijadala isiyo na mantiki hazitasaidia.
Nipe odds.Nenda ukabet wewe,acha mambo yako ya kiwaki.
Sina shida.Wewe shida yako nini?
Kuwa kimya basi. Wewe waambie ndugu zake na familia yako tusiandamane wengine tuache.Sina shida.
JumongKatoka kayafa kaingia naninii.. Hii ni ni bandika bandua aisee....!!!
Hii majitu empty headedInaitwa wasted maniii