Chadema Hapa mmebugi. Kubalini matokeo

Chadema Hapa mmebugi. Kubalini matokeo

Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE

Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....

Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570
Uliona wapi simba au yanga ikafa kwa kuondokewa na wachezaji,timu ni mashabiki sio wachezaji hao usajiliwa kila msimu.Upinzani ni wanachama sio viongozi, uliona wapi mmea ukafa kwa kuondokewa na magugu.Wanaorudi ccm ni waliokuwa awali wanaccm waliosombwa na kisurisuri,wengine wamekimbia kesi mfano mashinji,wengine kufilisiwa mfn Lowasa, sumaye,wengine wamefata asali kina waitara,nk,wengine vitisho waliogoma kupigwa chapa si mmeona walichotendewa check meya Mwita.Nikuhakikishe hakuna yeyeto aliyewahi umizwa au tundikwa msalabani na shetani akauza utu wake kwa kuusujudia na kuubusu msalaba na kupigwa chapa pia.CDM ilianza na mbunge mmoja Warid Kaburu Leo zaidi ya 30.Timu ya mpira UFA kwa kuondokewa na kocha na mashabiki na sio wachezaji,underground wako wengi sana wana subiri usajili anaondoka MTU ukaa MTU.Uliona wapi siti ya daladala ikakosa abiria.Hakuna chochote kinachoweza kufa kwa kuondokewa na wachezaji bali kocha na mashabiki ndio timu
 
Kung'oka mmeanza nyinyi maana tayari mmekula matapishi yenu hasa wewe ambaye ulikuwa unamtukana sana mzee Lowasa matusi ya nguoni.

Lkn sasa hivi mwenyekiti wenu kaamua kukung'oa meno yako kwa kumrudisha lowasa ndani ya ccm.

In God we Trust
Ule msemo wa mchawi mpe akulelee mwana hata mroga chadema waukumbuke km waliusahau! Waliwasema mafisadi pale jangwani walipohamia kwao wakapanda majukwaa wakawasafisha kwa kuzungusha mikono.
Leo wanauliza tena! Eti mafisadi wako wapi!!! Lo! Kituko.
Hawa walikuwa mafisadi wakiwa ccm, ndo maana wakanyimwa kugombea, wakakimbilia kwenu mkawapokea mafisadi , lakini haikutosha mkawasafisha kwa sabuni ya HISOPO nawalipotakasika wakarundi nyumbani wakiwa safi.
Hivyo msiwaite mafisadi.
 
Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE

Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....

Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570

Hakuna taahira alieniudhi kama jamaa linaloitwa Mollel!

That nigga is at the bottom of the toilet!
 
Wewe kwa hiyo ID sioni sababu ya kubishana na wewe
Ule msemo wa mchawi mpe akulelee mwana hata mroga chadema waukumbuke km waliusahau! Waliwasema mafisadi pale jangwani walipohamia kwao wakapanda majukwaa wakawasafisha kwa kuzungusha mikono.
Leo wanauliza tena! Eti mafisadi wako wapi!!! Lo! Kituko.
Hawa walikuwa mafisadi wakiwa ccm, ndo maana wakanyimwa kugombea, wakakimbilia kwenu mkawapokea mafisadi , lakini haikutosha mkawasafisha kwa sabuni ya HISOPO nawalipotakasika wakarundi nyumbani wakiwa safi.
Hivyo msiwaite mafisadi.

In God we Trust
 
Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE

Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....

Poleni sana kinachotokea march12-15 April hio gharika IPO mtalia kabisa watakaohama hukooView attachment 1364570

Mbona unakuwa na kichwa mzigo wew!!
Kichwa chako hakikusaidii kuweka kumbu kumbu,kwani Nani walisema Lowassa Kajinyea??! Na Nani alisema huko kwenu ccm eti majizi yamehamia chadema??!
Na ninani alisema chadema kabla y 2020 itakuwa imekufa??! Na kwaiyo sasa mnapokea maiti??!!
Chadema sasa inajisafisha wajizi yenu yanarudi home kwaiyo hakunajipya la chadema kujutia kwa maana hilo lilitakiwa lifanyike kwa kuwatimu magamba lkn sasa wanajivua wenyewe kwaiyo usiweweseke bado mjiandae kuwapokea wengi baada ya kuvunjwa kwa bunge la budget

Chadema hata wabaki kumi tu,tambua chadema ni imani siyo chama kama ccmpolisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taasisi hioo WEWEE kajiulizee
1995- yumooo
2000-yumoooo
2005- yumoooo
2010- yumoooo
2015- yumoooo
2020- nae yumoooo
Anaepinga anajadiliwaaa aondolewe kwikwi kaziimnayooo
 
Kwaiyo wewe umeona taasisi inakuwa au inakufa??!
Ebu tusaidie takwimu na data Kama ulivyo orodhesha miaka hiyo hapo juu japo kwa kwa ubunge na udiwani tu.
Maana wew ni mtamu sana kuyatazama mapungufu ya jirani yako kuliko ya kwenu ya Membe,Kinana na Makamba.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likewise na ccm walivyo kuwa wanawatukana wale walio kuwa wanahamia upinzani na kuwaita majina ya ajabu ajabu na wale vijana wao wa mitandaoni wakawatukana kina Lowasa.
Kamanda lakin mlionywa sana na chadema wenzenu kuhusu lowassa na sumaye mkaishiankuwaita majina ya ajabu
Leo gazeti la chadema linakiri kuwa walikuja kuvuruga chadema!
Baada ya uchaguzi mkuu chadema ikipata wabunge wawili nitajitoa humu
 
Taasisi hioo WEWEE kajiulizee
1995- yumooo
2000-yumoooo
2005- yumoooo
2010- yumoooo
2015- yumoooo
2020- nae yumoooo
Anaepinga anajadiliwaaa aondolewe kwikwi kaziimnayooo

Ukiweza nikumbushe chama cha Mandela wa Africa kusi kilitumia miaka mingapi hadi kuja kushika nchi na unilinganishie na chadema wanamiaka mingapi Kama taasisi na ujumuishe hujuma za ccm kuteka,kutesa na kuua watu wa chadema bila kusahau risasi 32 mlizo mmiminia Lisu lkn Mungu akasema huyu siyo wenu!!??!
Vp ccm mkiwa wapinza hata mwezi mmoja mkafanyiwa visanga Kama hivyo na chadema mngekuwepo kweli???!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo nyinyi mnaonpigia kiwi viatu vyake kwa sasa mnamuona lulu?
Kamanda lakin mlionywa sana na chadema wenzenu kuhusu lowassa na sumaye mkaishiankuwaita majina ya ajabu
Leo gazeti la chadema linakiri kuwa walikuja kuvuruga chadema!
Baada ya uchaguzi mkuu chadema ikipata wabunge wawili nitajitoa humu

In God we Trust
 
Hayo hawayaoni
Ukiweza nikumbushe chama cha Mandela wa Africa kusi kilitumia miaka mingapi hadi kuja kushika nchi na unilinganishie na chadema wanamiaka mingapi Kama taasisi na ujumuishe hujuma za ccm kuteka,kutesa na kuua watu wa chadema bila kusahau risasi 32 mlizo mmiminia Lisu lkn Mungu akasema huyu siyo wenu!!??!
Vp ccm mkiwa wapinza hata mwezi mmoja mkafanyiwa visanga Kama hivyo na chadema mngekuwepo kweli???!

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we Trust
 
Ni kweli
Likewise na ccm walivyo kuwa wanawatukana wale walio kuwa wanahamia upinzani na kuwaita majina ya ajabu ajabu na wale vijana wao wa mitandaoni wakawatukana kina Lowasa.

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu kuleni matapishi yenu tu

In God we Trust

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Mzee baba mwisho wa yote ni tumbo tu ndilo lazima mtu apambane nalo na maslahi pia
 
Hata makanisani pia kuna watu wanaasi na kurejea tena kwenye mabaa. That's normal.
 
Back
Top Bottom