CHADEMA hamkujua kwamba Ulinzi wa Magereza ni kama Ulinzi wa Ikulu? Wangetoroka wafungwa kwenye maandamano yenu nani angewajibika?

Kama ccm wanaruhusiwa kuingia ndani ya gereza kutoa mtu wao kwanini chadema wanyimwe haki ya kusogelea mlango wa gereza? chanzo cha tatizo ni ccm na serikali yake.
CCM walifuata utaratibu wa kupata clearance na kuruhusiwa kabla ya kwenda, huwezi kwenda ovyo ovyo bila security clearance hasa unapokuwa bingwa wa kudhihaki vyombo vya ulinzi na usalama. Akina Halima walivyotoka gerezani na wenzake walianza kuropoka kuwadhihaki magereza na hivyo ni viashiria vya uvunjifu wa amani kitu ambacho uwepo wao maeneo ya magereza ni hatari kwa usalama wa wafungwa ndiyo maana they were iced (Zootopia)
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Nani aliandamana? Je kufika kwa wingi nje ya gereza kumpokea mwenyekiti wetu ni maandamano? Unaelewa maana ya maandamano.

Kwa kigalatia je unaweza kutofautisha protests vs demonstrations vs welcome home?
Ninyii tafuteni tu definition za maneno mtavunjwa hadi magego. Hebu nendeni na jambo moja pale geti la Lugalo iwe ni protests, demonstration au welcome home muone mziki wake.

Mambo ya kijeshi ni amri, msilete siasa kwenye mambo ya maana
 
Ungetegemea Wabunge wawe na busara zaidi, Halima si alitoka kabla ya wenzake sasa alifuata nini tena kule gerezani? Kiherehere chake kimemponza. Serikali zote duniani kama hufuati sheria utakula mkong'oto.
Kwanza Mkong'oto aliopewa naona ni kidogo. Wapuuzi sana hawa, Wameona hamna Ajenda ya Kuwauza 2020 wameanza kuzotafuta kwa nguvu.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
CCM waliandamana kama CHADEMA? Usifikiri kwa makalio na kulinganisha vitu visivyo na uhusiano. Mnalazimisha geti lifunguliwe, nyie nani?
Kama ccm wanaruhusiwa kuingia ndani ya gereza kutoa mtu wao kwanini chadema wanyimwe haki ya kusogelea mlango wa gereza? chanzo cha tatizo ni ccm na serikali yake.
 
Kwanza Mkong'oto aliopewa naona ni kidogo. Wapuuzi sana hawa, Wameona hamna Ajenda ya Kuwauza 2020 wameanza kuzotafuta kwa nguvu.
Hata hivyo mpaka sasa wanakodi watu kuhudhuria mikutano yao. Ila soon na hao wa kukodishwa watawapandishia bei na watashindwa kuwalipa.
 
Kwa mimi, namwona huyu Askofu ni mwenye hekima kuliko Mbowe....... mapambano yako ya aina mbili, ya hekima na yasiyo ya hekima,.....
Na bado ksma viongozi wa CHADEMA hawatatumia busara za kiutu uzima na uongozi.

Mchungaji aliyewatembelea E.Bulaya H. Mdee bospitali wanakotibiwa majereha waliyoyapata katika hekaheka ya kumpokea M/Kiti wao kutoka gerezani, ni ujjmbe tosha wa kuzingatia. Msikilize.

 
Back
Top Bottom