CHADEMA hali si shwari

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.

Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
 
Watakutukana na kusema wananunuliwa tu hao.
 
Mkuu mbona kama unataka kutuaminisha kuwa hufurahi yanayoendelea huko CDM

Umeshasema hata lipabwe vipi jeneza ndani huwa namaiti, isipozikwa haraka itoa harufu.......

Unajidai unawashauri...
"dont Interupt ur enemy when is making a mistake"
Hebu kaeni kimya hadi hapo CDM itakapokufa, au muwe mnachekelea tu direct,humna haja yakujudai mnajari na kushauri wakati inajurikana NAMNA MNAVYO VICHUKIA VYAMA PINZANI HASA CDM,MNAFANYA KILA LIWEZEKANALO ILI KIFUTIKE.....
 
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.

Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.

Mkuu mpaka sasa wanao nunuliwa ni baadhi ya viongozi wa upinzani lakini siyo wananchi wapiga kura
 
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.

Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Maiti imepigwa ganzi?!

Mmechanganyikiwa kupita maelezo.
 
Daah wapambane na hali zao
 
CCM inajipambanua kuwa chama kisichopenda rushwa, wakati ni tofauti kabisa na matendo yake. Kinanunua, kina warubuni na mara nyingine kuwatisha kuwafilisi mali zao wapinzanu wasipohama upinzani. Ahadi za kupewa madaraka nje ya upinzani ndo ngao yao kubwa (nafikiri hii ina baraka ya mkubwa wao).
Anayerudi CCM kwa kisingizio cha kwamba hicho chama sasa kinafanya makubwa ni zezeta, ni makubwa yapi? Mfano wa haraka ni kile kitendo cha rais kuzuia private contarctors kujenga hostel za UDSM na badala yake wakajenga TBA - ni nini kimetokea? Ni ujenzi usiokidhi engineering specifications ambao umeleteleza crack kubwa kabla hata mwaka kwisha. Sasa kitachofuata ni gharama mara dufu, either tubomoe ukuta ujengwe upya au tuwe wa kuziba mara kwa mara.
Mifano ni mingi. Ugua au uguliwa ukazwe Muhimbili, kama unapaswa kupelekwa chumba cha upasuaji uatkuta hata machela hayapo na kama yapo hakuna nesi wa kuyasukuma hadi huko - upuuzi mtupu. MOI hukomndo usiseme.
Nenda mahakamani uone jinsi haki inavyonunuliwa kwa pesa......
Tukija maisha ya kawaida leo ni afadhai ya jana. Wanaokula mara tatu kwa siku namba yao inapungua kila siku na hii ni hatari sana.
 
Viongozi wa chama hicho wanajitahidi sana kulipamba sanduku la marehemu/Jeneza kwa nje lakini ukweli wa mambo ni kuwa ndani kuna maiti, ambayo imepigwa dawa na ganzi ili isitoe harufu. baada ya muda mfupi mwili huu usipozikwa harufu itawaumbua kwa waombolezaji endapo hawatafanyia kazi ukweli huu mchungu.

Hivi karibuni wanachama waandamizi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wa BAVICHA wamehamia CCM, wanachama waandamizi wa vyama vingine ikiwemo wabunge wanahamia CCM kwa kasi ya kutisha. ni wakati muafaka sasa kwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA ambacho ni cha kikuu cha upinzani kujitafuta/kujisachi/kujipangusapangusa....hali ya mambo sio nzuri sana huko chumbani. amkeni haraka..........hizi taarifa za Mnyika kukihama CHADEMA SIO ZA KUPUUZWA. ZIFANYIENI KAZI. ATASAJILIWA NA TIMU PINZANI SIO MUDA MREFU.
Umetumwa na mwenyekiti wenu mwenye frustration?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom