CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

Kwamba Mdude na Mwabukusi walikamatwa na CHADEMA? Hivi kuna watoto wΓ nasema Wana mzazi Fala kama wewe?
 
Slaa alitaka kurudi chadema kwa mgongo wa bandari. Wakamchunia amejifia kama lipumba
 
Sijaelewa hata ulichoandika maana umeanza kwa kufoka
 
Kwani chadema ikifa we si ndo unafurahia. Sasa unasoneloneka nini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…