kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
analipwa kwa kuandika upuuzi wake juu ya hawa watu. ulishawahi kumaliza siku bila kukosa post yeyote toka kwake?. johnthebaptist kila siku yuko na CHADEMA, Mbowe na Lissu!
wewe unaiamini?Padre Dr Kitima: Uchaguzi hauna maana kama Wananchi hawaiamini Tume ya Uchaguzi!
Umeliona hilo agenda imekuwa ni mpango!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msemaji wao, mtoa mapichapicha yao humu amevamia pia suala la mpango lakini nalo limebuma kama hayo mengine. Tukiweka unyumbu pembeni, umeongea kitu sahihi kabisa!
Mbowe, Mdee, Lisu na Sugu Ndio wamiliki wa Chadema. johnthebaptist kila siku yuko na CHADEMA, Mbowe na Lissu!
Mh!Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.
View attachment 2834816
SIfa kuu ya utapeli ni kumshawishi mtu mpaka atoe pesa mfukoni kwa hiari yake!Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.
View attachment 2834816
Ccm haikurupuki ulitegemea kumuona makonda,pelekeni misaada kwa wahanga nyie acheni kuweweseka unafikiri ukishapeleka mashangingi na maafisa tu basi umemaliza?
Tafuteni kwanza katibu mkuu wa chama cheni ndo mje kuongea ya wenzenu nyie si mna demokrasia huko kwa wezi lumumba? lete katibu mkuu sasa
Wakati wa mabadiliko ndio huu chairman ameshindwa kwa kweli!Haya Kipara umesikika, nenda basi uka pupu, halafu utulie.
sasa hapo ccm iko wapi? hiyo ni serikali wanachokitoa hapo ni kodi zetu.Ccm haikurupuki ulitegemea kumuona makonda,