Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,148
- 33,027
- Thread starter
- #21
Ingieni msituni basi. Sio kukaa na kutupigia kelele kila siku. Mnachosha..... Mi nasema kuitoa ccm ni rahisi sana ila wenye nafasi za juu za chadema wamezidisha mno hekima. Yaani kwa katiba hii hii ccm wanawezekana kutoka tu. Kama walivyotoka wazungu wakiwa na katiba yao mkononi.