chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.

ccm kilitumia hela nyingi kwenye huo uchaguzi
kiliwanyanyasa na kuwaua watu kwa sababu waendelee na ufisadi wao Ar
chadema chama kinachopendwa na hamwezi kuwabadili wananchi kamwe
la sivyo tunataka hela zetu zilizofichwa uswiss zirudishwe
tembo waachwe kuuliwa na wanyama wetu waliopelekwa nje ya nchi warudishwe
Umeamua kuweka environment ya STP wakati hakuna chochote kilichokuwa constant wakati wa kampeni na hata uchaguzi!chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
siamini kama ccm mmepanic kiasi hichi.
Mkuu
Hawa jamaa hawaja panic ila wako kwenye severe state of panic over weighed by denial.
Tuwakubalie kuwa Chadema haikushinda bali ilitetea kata. Ili kuwapa nafuu ya usingizi tuwakubalie tu. Lakini wakumbuke kuwa chedema ilijizatiti kutetea kata zake na hatimaye ccm wakashindwa kuchukua hata kata moja. Kama hivyo ndivyo ina maana ccm walishindwa mbinu na ccm maana uchaguzi 16 juni 2013 ccm ilinyang'anywa kata zake 3 na chadema baada ya kushindwa kuzitetea kama chadema jinsi ilivyo tetea kata zake 4.
Kama hivyo ndivyo, basi chadema ni imara kwenye kutetea vyake kuliko ccm.
Kwa mantiki hiyo, kati ya chadema na ccm akitafuutwa mshindi na mahiri wa kutetea na kushinda chaguzi kwenye kata zilizo kuwa kwenye himaya bila shaka mshindi hawezi kuwa ccm.
Unauma, ni mchungu lakini ndio ukweli.
Ha ha ha ha haaaaah, haya tumekusikia mkuu, ila inauma sana!
chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.
Upuuzi huu kwanini Magamba walisimamisha wagombea?
Bado Sombetini,muulize CHEMBA kama atapeleka timu uwanjani au atatia mpira kwapani,Magamba lazima mkae.
samahani ndugu hivi nyie ccm baadhi yenu ni vichaa au mnajitia wazimu maksudi? watu wanashindania kitu alafu mmoja anapata wengine wanashindwa kukipata matokeo yake wanapatikana walioshindwa ila anakosekana alieshinda.. embu jaribu kutumia ubongo hata kidogo, kama umeshindwa tafuta uzi wa nape baada ya matokeo kutangazwa alisema nn.chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm, TLP, CUF) kilichopoteza bali kinachoonekana ni chadema kutetea viti vyake vinne.