CHADEMA haijaridhishwa na hukumu ya kesi ndogo, Kuitisha kikao cha dharura ili kutafakari hatua za kuchukua

Yule hakimu kahongwa cheo .. na ndiyo maana kajitoa kwa aibu. Ni kweli kwa uamuzi huo CDM ikae chonjo... hawa jamaa wameamua kumfunga Mbowe na kuifuta CDM kabla ya uchaguzi wa 2025
Mnajidai mnapenda haki wakati hamjui hata nini maana ya haki, acha avune alichokipanda, kwa nini hamtaki kuskilizia ushahidi wa Mwamba aloyafanya na mnakaa kutetea tu ujinga? wacheni Mahakama itende haki, kesi ni ushahidi.
 
Kwahiyo ulitarajia aseme anajitoa kwakuwa haki haitendeki?
Tunapumua vizuri, maana hata wakati wa lile dubwasha lako tulikuwa tunapumua. Mama wa kambo anajitahidi kuiga udhalimu wa yule kiongozi muovu lakini hapatii. Hata huu ushenzi wote unaoendelea ni mbegu iliyooteshwa na lile dubwasha liovu.
wa hiyo kajitoa kwakuwa haki haitendeki? Ndio kasema hivyo?

By the way hivi kwani si mnapumua nyie? Baada ya dikteta wenu kufa aliewatesa kwa miaka 5
 
Mamako anajua
246438413_913411039295939_2315244974867871667_n.jpg

jiandae kisaikolojia boss sioni njia
 
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika kwenye viunga vya Mahakama kuu divisheni ya Uhujumu uchumi Mjini Dar es Salaam.

Wito wangu kwa Wanachama wa Chadema ni kuwa watulivu wakati viongozi wakitafakari hatua za kuchukua.

SHETANI HAJAWAHI KUMSHINDA MUNGU
Kama mwenyekiti mvua zinamkaribia unadhani mtaridhika?

Pili haki kwa wapinzani ni wao wakishinda kesi 😂😂.

Chukueni hatua ila zisitishie Amani mtaumia.
 
Tatizo wafuasi wa Chama cha Mbowe mnajitoaga kabisa akili.. lazima muelewe kwamba Mwenyekiti wa CCM ndiye huteua hao majaji. Kuna vitu inabidi tu mkae chini na mwenyekiti wa CCM mkubaliane baadhi ya mambo ila kumtukana mwenyekiti wa chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote mkiwemo ninyi wafuasi wa Chama cha Mbowe haitasaidia.
 
Kwamba ukimtukana mwenyekiti wa ccm unatengenezewa kesi ya uongo ya Ugaidi !
 
Hukumu ya Ugaidi ukikutwa na hatia, si kunyongwa hadi kufa au life sentence eti? At least tutapunguza Div 0 moja kisheria inayosumbua sumbua watu hapa.
Hii itajirudia endeleeni tu.

Kwahiyo ulitarajia aseme anajitoa kwakuwa haki haitendeki?
Tunapumua vizuri, maana hata wakati wa lile dubwasha lako tulikuwa tunapumua. Mama wa kambo anajitahidi kuiga udhalimu wa yule kiongozi muovu lakini hapatii. Hata huu ushenzi wote unaoendelea ni mbegu iliyooteshwa na lile dubwasha liovu.
Sasa kwanini asiufute huu ushenzi wa lile dubwasha lako?
 
Back
Top Bottom