kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,319
- 13,386
hujakosea ni taasisi ya fedha saccos ya kilimanjao
Karibu sana kwani we uko kitengo gani pale Lumumba?
hujakosea ni taasisi ya fedha saccos ya kilimanjao
Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini, Bwana Rojas Ruhega, na katibu chama hicho jimbo hilo, wameanza harakati za kujivua uanachama wa chama hicho ili wajiunge na chama kingine cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu.
Wanachosubiri ni maamuzi ya utatuzi wa migogoro. Kama hawatatendewa haki watahamia ACT Wazalendo.
Rojas anadai amewasiliana na viongozi wa ACT na wanamtarajia sana kwani itakuwa tiketi nzuri sana kwa ushindi wao jimbo la mjini
Bwana Rojas anausubiri uongozi wa chama hicho taifa ufike Geita ili ajiengue na kuhamia ACT. Hakuna Chadema Geita, tena wanaelekea kuzimu.
Chadema ni taasisi na sio Rojas😛
Utaratibu wote wa kumpata mgombea wa Geita utafuata taratibu zote za kichama na mshindi atapatikana kihalali
Kama ana beep tutampigia.kutishana ili msamehewe madhambi yenu huku cdm hakuna hiyo , kitendo cha kutishia tu kuhamia ACT ni usaliti .
haiwezi kutokea na haitatokea Rogers luhega ninaemjua mimi aende ACT huyomtoa maada tunamfaham ni mke wa MANGILIMA nahisi katumwa na mmewe maana tangu asimamishwe uongozi wa jimbo hapati tena posho kutoka kwa mmewe wengine waliolewa na MISALABA baada ya posho kuisha waliham
Huyo ni muta na akina Sengerema wazushi
Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini, Bwana Rojas Ruhega, na katibu chama hicho jimbo hilo, wameanza harakati za kujivua uanachama wa chama hicho ili wajiunge na chama kingine cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu.
Wanachosubiri ni maamuzi ya utatuzi wa migogoro. Kama hawatatendewa haki watahamia ACT Wazalendo.
Rojas anadai amewasiliana na viongozi wa ACT na wanamtarajia sana kwani itakuwa tiketi nzuri sana kwa ushindi wao jimbo la mjini
Bwana Rojas anausubiri uongozi wa chama hicho taifa ufike Geita ili ajiengue na kuhamia ACT. Hakuna Chadema Geita, tena wanaelekea kuzimu.
you are lacking premisses to make undoubtely story!Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Geita mjini, Bwana Rojas Ruhega, na katibu chama hicho jimbo hilo, wameanza harakati za kujivua uanachama wa chama hicho ili wajiunge na chama kingine cha siasa kabla ya uchaguzi mkuu.