CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

CHADEMA Geita yasambaratika yenyewe

Hii ndiyo CHADEMA,hakuna uongozi jimbo zima mpaka baada ya uchaguzi mkuu 2015,kikosi kazi kitaongoza jimbo
 
Nawashukuru waliochukua uamzi huo kwani chama kilikuwa kimetekwa na watu wasiojulikana wametokea wapi lemgo lao.
 
Nimetumia mda wangu mwingi kuwataka wasifanye kazi ya ccm wakani puuza.ajabu ukifika kwenye uchaguzi unakta wagombea fek
 
Safi sana tena iwe fundisho kwa viongozi wanafiki wengine tena legelege maana tukijitahidi tutapata majimbo yote ya ccm cha msingi viongozi kanda na viongozi wa wilaya wachape kazi usiku kwa mchana ili jimbo liwe la UKAWA marafuku liende ccm hilo jimbo
 
Naona ndio mkakati wa wagombea wa CCM. Kuhujumu CDM kupitia viongozi wa wilaya...
 
Alphonce Mawazo anawavuruga sana Chadema Geita
 
Chadema kwa maamuzi nawasifa mkiendelee hivi ugambani wataiga muwe makini.
 
Back
Top Bottom