cdm taifa wanapaswa kuwa wakali Sana kuweka nidhamu chamani.
kuchapana iwe sumu
Hawa wanachama wanapigana hapa mi naogopa kusogea karibu, ni hapa Ofisin kwao Kanisa la Roman Geita mjini.
Nimei clarify hiyo picha,nimei zoom,nimeona!!! Watu wananunua samaki gengeni na bodaboda ama wakibishana au wakitaniana, nenda kalale tu mkuu,yaelekea ulitumwa nyanya hapo ila uliposikia watu wanabishana kwa sauti kubwa ukaogopa na kukimbia kwa woga,mwambie mama aende tu mwenyewe dogo langu,ila dah! Umezidi uoga
Nyie watu wapuuzi sana....wakipigana CCM ishu wakipigana CDM watu wanatafuta haki....inamaana siasa zimewafanya muwe kama mmekunywa pombe acheni ufala
Nyie watu wapuuzi sana....wakipigana CCM ishu wakipigana CDM watu wanatafuta haki....inamaana siasa zimewafanya muwe kama mmekunywa pombe acheni ufala
Acha mapepe wewe peke'ako unayeona hakuna mwengine atakuwahi kuanzisha uzi humu..so relax ulete habari iliyokamilika,unakaa mbali unapiga picha na kukimbilia kupost mitandaoni je kama wanapongezana baada ya uchaguzi kuisha na mshindi kupatikana,sogea karibu uthibitishe kinachoendelea ndo upate la kuandika.