Katika katiba ya Tanzania Maalim Seif ni nani!!??
hicho ni sawa na kile cheo cha naibu waziri mkuu ambacho Lyatonga mrema aliwahi kupewa katika serikali ya mwinyi
kilemba cha ukoka
Katika katiba ya Tanzania Maalim Seif ni nani!!??
Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.
CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuleta machafuko.
Hivi Maslahi ya taifa ni yapi wanajamvi? Uache waporaji waendelee kuiba kwa sababu ukisema utaambiwa unaleta fujo kwa hiyo unyamaze eti ndio maslahi ya taifa?Ushauri wangu kwa Chadema ingekuwa Busara zaidi Dr Slaa akapata au kufuata nyayo za maalim Seif hususan anapoingia kwenye maslahi ya Taifa.
wana wabunge wawili tu bara..! lol ....kaa kimya yakhee.... kacheze bao ndilo linalokufaa
Ndugu yangu naona una makengeza. hebu pitia tovuti ya Bunge la muungano utaona CUF ina wabunge wangapi?
Zanzibar Chadema hawana hata Mbunge mmoja? Je unajuwa CUF ina wabunge wangapi Zanzibar?
hicho ni sawa na kile cheo cha naibu waziri mkuu ambacho Lyatonga mrema aliwahi kupewa katika serikali ya mwinyi
kilemba cha ukoka
Mkuu.hata kikwete alikuwa na mivyei kibao kabla ya 2005 sasa ametufanyia nini?
Nyerere alikuwa na hayo mavyeo ya Maalim 1961?
Huyo lipumba ni cheo gani cha siasa zaidi ya ugombea urais wa maisha alichowahi kushika.
Mivyeo haina maana kama hamna uzalendo.
Mwambie JK aende pale IMAN ya kiislam redio aongee kiarabu kwa waislam nini cha kufanya.
mimi nipo bara .... ya zenji nimekuachia wewe ...
Pitia Tovuti ya bunge la muungano au waulize Chadema wenzako pale mjengoni kuna wabunge wangapi wa CUF utaelezwa. Kisha rudi hapa na sio kukurupuka.
Sisi tunachotaka ni maslahi ya taifa kwanza kwa kuhakikisha amani na inadumishwa. Je unajuwa CUF ana mawaziri wangapi katika SMZ.
Ndugu yangu naona una makengeza. hebu pitia tovuti ya Bunge la muungano utaona CUF ina wabunge wangapi?
Zanzibar Chadema hawana hata Mbunge mmoja? Je unajuwa CUF ina wabunge wangapi Zanzibar?
mmmh,kila mbunge anawakilisha watu wangapi?
au tuseme kachaguliwa na watu wangapi?
Kweli una akili mgando na mgando huo unazidishwa na kujiunga na Chadema.
Hebu waulize hao wabunge wa Chadema kama kuna tofauti za wabunge kutegemea na idadi ya watu waliokuchagua?
Kama wafuasi wa chadema wapo kama wewe basi woooote Vilazaaaaa. Na Mbowe na Padre Slaa watawalazaaa
Mmmmmh,na nyie mnasema mna wabunge?
Yaani ni sawa na kusema Ubungo iwe na wabunge 20,maana jumla ya kura za wabunge wote toka mkoa wa zanzibar haizidi idadi ya kura alizo pata Mnyika ubungo!
Ilibidi kuwe na wabunge wawili tu kwa kuwapendelea zanzibar,mmoja toka pemba na mmoja toka unguja,kwanza sijui mnafanya nini kwenye bunge la muungano
Mmmmmh,na nyie mnasema mna wabunge?
Yaani ni sawa na kusema Ubungo iwe na wabunge 20,maana jumla ya kura za wabunge wote toka mkoa wa zanzibar haizidi idadi ya kura alizo pata Mnyika ubungo!
Ilibidi kuwe na wabunge wawili tu kwa kuwapendelea zanzibar,mmoja toka pemba na mmoja toka unguja,kwanza sijui mnafanya nini kwenye bunge la muungano
Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.
CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuleta machafuko.

Mkuu.
Kosa lako katika hoja yako liko hapo kweye wino mwekundu.
Unakumbuka kulikuwa na Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 Jaunuari?
Na ilipofika April 1964 Tanganyika(Ubungo) iliunganisha mambo 11 na "mkoa wa" Zanzibar kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kilichoendelea baada ya hapo ni mazingaombwe na kiini macho cha Mwalimu na CCM.
Mkuu. Pitia historia ya muungano wa Tan(nganyika)Zan(zibar)-ia ya kisanii.