CHADEMA (Dr Slaa) afuate nyayo za CUF (Maalim Seif)

umekosea shehe wangu umequote busara za mkafiri kwani hakuna za mwislam mwenzetu? usiwakweze hao mazayuni na busara zao
''Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking''. Albert Eistein
Inaonekana unatumia nguvu nyingi sana kurejea kwenye historia ya Cuf unguja bila ya kujaribu kui-relate na hali ya sasa kwa CDM na wananchi wa bara na kwingineko duniani pamoja na hali zao!
 
Kujifunza kwa Slaa, sio kama unavyoelekeza. unalenga kumtisha. CUF is under free fall, kama wasipopata pa kujishikia. mgogoro wa Zanzibar kisiasa uligeuzwa kuwa ni suala la CCM na CUF, that was a mistake, ndio maana CUF wamesota miaka 9 wakisema hawaitambui SMZ. kama wangetambua hilo mapema wagejumuisha makundi mengine ya kijamii as a reverse and protective gear.

Hata makubaliano ya sasa, juu ya SUK, yamewameza CUF hadi kuondoa upinzani BLW. Kama CUF wana jeuri wangeenda mbali zaidi, waunde kambi, na kuweka serikali kivuli kwa wizara zote zinazosimamiwa na CCM na waruhusu CCM kuchagua mawaziri vivuli kwa wizara zinazosimamiwa na CUF. this by implication will mean, CUF wasikubali wizara moja kuwa na waziri na naibu toka vyama vya cuf na ccm.

but as it stands, wanaonekana wachumba tu! wanatumiwa na CCM kuua upinzania, huku wakijiona wako salama kupakana na CCM.--- urafiki wa mashaka.
Mkuu.
Umeichukua tabia ya CCM ya "ujambazi", mazingaombwe na unafiki kama nguzo ya maelezo yako.
Sina maana kuwe wewe ndio una tabia hizo.Unielewe vizuri.Ninachosema ni kuwa kwa sababu CCM haiaminiki, si wakweli na mara nyingi hutokea kuwa hawana nia njema wanapopanga mikakati yao ya kisiasa basi umefikia conclusion hiyo uliyoitoa hapa. Kuwa CUF iko katika free fall.

Kwa maneno mengine unasema kuwa CUF wametiwa changa la macho na CCM. Hilo linawezekana kwani ndio tabia ya CCM. Lakini mfumo wa GNU au Serikali ya umoja wa kitaifa unatumika katika nchi nyingi na ukisimamiwa upasavyo na kufanya kazi zake huwa ni kichocheo cha maendeleo. Lakini nimekufahamu unamaanisha kuwa CCM wata-sabotage uendeshaji wa GNU ili wakiue au wakipunguze nguvu CUF.

CCM wakifanya sabotage basi uko sahihi katika upembuzi wako,vyenginevyo basi GNU ikifanya kazi vile inavyotakiwa CUF itapanda Chat na hata kuweza kukibwaga CCM kama ambavyo imefanya katika chaguzi zilizopita huko Zanzibar na kukabidhiwa madaraka ya kuongoza GNU ya 2015.

Mifano ya nchi inayotumia hii aina ya GNU au Serikali shirikishi utaipata hapa.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lahi-ya-taifa-they-are-just-another-tool.html
 
Kujifunza kwa Slaa, sio kama unavyoelekeza. unalenga kumtisha. CUF is under free fall, kama wasipopata pa kujishikia. mgogoro wa Zanzibar kisiasa uligeuzwa kuwa ni suala la CCM na CUF, that was a mistake, ndio maana CUF wamesota miaka 9 wakisema hawaitambui SMZ. kama wangetambua hilo mapema wagejumuisha makundi mengine ya kijamii as a reverse and protective gear.

Hata makubaliano ya sasa, juu ya SUK, yamewameza CUF hadi kuondoa upinzani BLW. Kama CUF wana jeuri wangeenda mbali zaidi, waunde kambi, na kuweka serikali kivuli kwa wizara zote zinazosimamiwa na CCM na waruhusu CCM kuchagua mawaziri vivuli kwa wizara zinazosimamiwa na CUF. this by implication will mean, CUF wasikubali wizara moja kuwa na waziri na naibu toka vyama vya cuf na ccm.

but as it stands, wanaonekana wachumba tu! wanatumiwa na CCM kuua upinzania, huku wakijiona wako salama kupakana na CCM.--- urafiki wa mashaka.
ndugu yangu kama hujui ni bora kuuliza kuliko kukurupuka.

naomba ujue kuwa harakati zoooote duniani za kuleta mabadiliko si za siku mbili au tatu ni mchakato unaochukua kipindi kirefu lakini hatimae mambo yanakuwa sawia.

Fikiria katika kipindi hicho cha miaka 9 kuna watu waliwekwa ndani, kufungwa, kupoteza maisha na kupata vilema vya maisha na wengine kwenda ukimbizi. hayo yote ni matunda na uvumilivu na kuhakikisha jamii inatambua hilo.

Hata Chadema walisusa hotba ya rais na hata kuhudhuria siku ya matokeo ya rais. Huo ni mwanzo tu wa kuleta ukombozi lakini jua kwa mtazamo huu itawachukua muda mrefu sana Chadema kuleta mabadliko hapa nchini sababu kubwa ni ukanda, udini.

Kumbuka kuwa Chadema haipo Zanzibar au hata kusini mwa Tanzania. Na chama halisi ni lazima kiwe chama cha kitaifa na sio cha kaskazini na lake zone pekee.

Mna mengi mnahitaji kujifunza katika kuelekea kuleta mabadiliko ya nchi ikiwa pamoja na kutapakaa kote nchini na sio baadhi ya sehemu hususan za wakristo.
 
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa CUF ni chama kikongwe cha siasa kilichopitia misukosuko mingi sana ikiwa pamoja na viongozi wake waandamizi kuwekwa ndani kwa takriban zaidi ya miaka miwili kwa kusa la kutaka kupindua nchi.

Vile vile ni chama kilichotia tashtiti nyingi sana na hata pamoja na uchakachuaji wa kura walieza kufikisha zaidi ya asilimia 48 ya kura za urais Zanzibar.

Katibu wake mkuu Maalif Seif Sharif hamad ni mtu aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa waziri kiongozi na amepata misukosuko mingi sana na mtu mwenye kauli kubwa.

Kwa hakika napenda kumsifu kwani Kwa yeyote anayeijua na kumjua maalim Seif especially wakati wa uchaguzi utajua kauli yake ni muhimu sana katika mustakabali wa Taifa la zanzibar. mara zote aliweka maslahi ya taifa mbele japo walikuwa wanaporwa ushindi wao.

Ushauri wangu kwa Chadema ingekuwa Busara zaidi Dr Slaa akapata au kufuata nyayo za maalim Seif hususan anapoingia kwenye maslahi ya Taifa.

Inaeleweka wazi kuwa hajawa maarufu kama maalim Seif lakini ni vizuri kupata Uzoefu kutoka kwa maalim ambaye amepitia misukosuko mingi au Chadema nzima kama ingekuwa wasikivu wangefuata nyayo za CUF katika kutaka kuleta muafaka halisi wa nchi hii ya tanzania na sio kuleta mifarakano na uchochezi jambo linaloweza kuleta machafuko na umwagaji damu.

Chadema fuateni nyayo za CUF katika kuleta yale mema mnayoyataka wananchi wa tanganyika wayapate.

Nawasilisha.

Ni kweli Sefu ni mwanasiasa mkongwe lakini si maarufu kama Dr Slaa hata kwa uelewa na kujenga hoja na kuzipangua.Huyu Sefu ni marufu Unguja kwa watu milion moja na Slaa ni marufu bara kwa watu milion 39 wapi na wapi
 
Hebu tupe hali ya sasa kisiasa ya chadema ambayo tuione tofauti na ile ya CUF kule Zanzibar? kama wewe sio mzandiki.

hivi idadi yenu huko ZNZ ni wangapi?? hafikii hata 1/4 ya idadi ya watu DAR!! nyie ni sisimizi tuu.. kwanza mna vyuo vingapi vya elimu?? eti tujifunze kwenu Looh! si upup tu huu!
 
Mkuu.
Umeichukua tabia ya CCM ya "ujambazi", mazingaombwe na unafiki kama nguzo ya maelezo yako.
Sina maana kuwe wewe ndio una tabia hizo.Unielwe vizuri.Ninachosema ni kuwa kwa sababu CCM haiaminiki, si wakweli na mara nyingi hutokea kuwa hawana nia njema wanapopanga mikakati yao ya kisiasa basi umefikia conclusion hiyo uliyoitoa hapa. Kuwa CUF iko katika free fall.

Kwa maneno mengine unasema kuwa CUF wametiwa changa la macho na CCM. Hilo linawezekana kwani ndio tabia ya CCM. Lakini mfumo wa GNU au Serikali ya umoja wa kitaifa unatumika katika nchi nyingi na ukisimaiwa upasavyo huwa ni kichocheo cha maendeleo. Lakini nimekufahamu unamaanisha kuwa CCM wata-sabotage uendeshaji wa GNU ili wakiue au wakipunguze nguvu CUF.

CCM wakifanya sabotage basi uko sahihi katika upembuzi wako,vyenginevyo basi GNU ikifanya kazi vile inavyotakiwa CUF itapanda Chat na hata kuweza kukibwaga CCM kama ambavyo imefanya katika chaguzi zilizopita huko Zanzibar na kukabidhiwa madaraka ya kuongoza GNU ya 2015.

Mifano ya nchi inayotumia hii aina ya GNU au Serikali shirikishi utaipata hapa.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lahi-ya-taifa-they-are-just-another-tool.html

jamani kwa ajili ya maslahi ya nchi ni bora.

Its better to have them in pissing out than having them out pissing in.
 
Ni kweli Sefu ni mwanasiasa mkongwe lakini si maarufu kama Dr Slaa hata kwa uelewa na kujenga hoja na kuzipangua.Huyu Sefu ni marufu Unguja kwa watu milion moja na Slaa ni marufu bara kwa watu milion 39 wapi na wapi

Je wajua kuwa Dr Padre Slaa alichaguliwa na watu wasiozidi 2m. usidanyanyike na umati unaokusikiliza wengine wanakuja shangaa magari na helkopta
 
Nakubaliana nawe kwa asilimia 100. Maalim Seif ni Zaidi na hilo nimeliweka bayana. Kwani ukiondoa PhD ya sheria za kikatoliki na Kuongoza kigango na jimbo la katoliki na ubunge ni wadhifa gani aliowahi kushika Dr Padre Slaa.

Sasa mfananishe na maalim Seif. Sasa ni lazima akajifunze kwake ajue kuwa katika harakati hizi kuna kuwekwa ndani, kufungwa na mengi mengine ambayo Seif ameyapitia mpaka kuleta muafaka wa kweli Zanzibar. Au wewe unafikiri Rome watakutetea ukiekwa ndani. wao watakupa pesa lakini ndini ni wewe tu wao hawamo.

Anamzidi Slaa kwa kuvaa msuli na kunywa gahawa sawa sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa CUF ni chama kikongwe cha siasa kilichopitia misukosuko mingi sana ikiwa pamoja na viongozi wake waandamizi kuwekwa ndani kwa takriban zaidi ya miaka miwili kwa kusa la kutaka kupindua nchi.

Vile vile ni chama kilichotia tashtiti nyingi sana na hata pamoja na uchakachuaji wa kura walieza kufikisha zaidi ya asilimia 48 ya kura za urais Zanzibar.

Katibu wake mkuu Maalif Seif Sharif hamad ni mtu aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali mpaka kuwa waziri kiongozi na amepata misukosuko mingi sana na mtu mwenye kauli kubwa.

Kwa hakika napenda kumsifu kwani Kwa yeyote anayeijua na kumjua maalim Seif especially wakati wa uchaguzi utajua kauli yake ni muhimu sana katika mustakabali wa Taifa la zanzibar. mara zote aliweka maslahi ya taifa mbele japo walikuwa wanaporwa ushindi wao.

Ushauri wangu kwa Chadema ingekuwa Busara zaidi Dr Slaa akapata au kufuata nyayo za maalim Seif hususan anapoingia kwenye maslahi ya Taifa.

Inaeleweka wazi kuwa hajawa maarufu kama maalim Seif lakini ni vizuri kupata Uzoefu kutoka kwa maalim ambaye amepitia misukosuko mingi au Chadema nzima kama ingekuwa wasikivu wangefuata nyayo za CUF katika kutaka kuleta muafaka halisi wa nchi hii ya tanzania na sio kuleta mifarakano na uchochezi jambo linaloweza kuleta machafuko na umwagaji damu.

Chadema fuateni nyayo za CUF katika kuleta yale mema mnayoyataka wananchi wa tanganyika wayapate.

Nawasilisha.

umepata rojo?
 
Mtasema mengi sana lakini sikio haliwezi hata kidogo kuzidi kichwa.

CUF ni wakongwe na wakomavu katika siasa za nchi hii sio Chadema. Kwani ili kuweza kujikita na japo kufikia hata nusu ya CUF katika kura za uchaguzi wa rais na Wabunge katika Tanganyika, Chadema lazima wapate uzoefu wa CUF kinyume chake ni propaganda tu na kuleta machafuko.

Je wewe unafuata uzoefu wa mke wako au mume wako?

CDM ni chama makini kuzidi Makafu, kepewa peremende tu wako kimyaaaa wamenywea.
 
hivi idadi yenu huko ZNZ ni wangapi?? hafikii hata 1/4 ya idadi ya watu DAR!! nyie ni sisimizi tuu.. kwanza mna vyuo vingapi vya elimu?? eti tujifunze kwenu Looh! si upup tu huu!

jamani unajua saa ingine majina yanaathili ubongo wa mtu, hili jina Hafif sijui kama si miongoni mwake
 
Hebu tupe hali ya sasa kisiasa ya chadema ambayo tuione tofauti na ile ya CUF kule Zanzibar? kama wewe sio mzandiki.

Hivi ZNZ ina watu wangapi vile? hawafikii hata 1/4 ya widadi ya watu wa DAR!!! eti tujifunze kwenu!! kwanza mna vyuo vya elimu vingapi?? huu ni upupu tuu. Chama cha Ufinyanzi na Fumigation LOL!!
 
48% ya 5million na 48% ya 500000 ipi kubwa,it is true huyu mpemba hana upeo wa mambo.
Achana na Dr.Slaa hiki kichwa noma.
 
Kwa taarifa yako wote CUF na CHADEMA vimeanza mwaka 1992 iweje leo useme CUF ni chama KIKONGWE???
Nazani CUF na CHADEMA hakuna tofauti!
 
hivi idadi yenu huko ZNZ ni wangapi?? hafikii hata 1/4 ya idadi ya watu DAR!! nyie ni sisimizi tuu.. kwanza mna vyuo vingapi vya elimu?? eti tujifunze kwenu Looh! si upup tu huu!

Idadi ya wakaazi wa nchi ndogo duniani au hapa Afrika

BBC News - Seychelles country profile

BBC News - Mauritius country profile

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/country_profiles/1032156.stm#facts

http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/country_profiles/1064541.stm#facts

Nafikiri Zanzibar wana population ya kama 1.2 mil.
 
Ndugu yangu ANyislye Tusibaguane wapemba na wabara wote DUGU moja! Tujenge haja tu. Japo Mdau amechemka kwa hili swala la CUF lakini Jenga hoja usimbagua kikabila,kikanda, nk
 
Anamzidi Slaa kwa kuvaa msuli na kunywa gahawa sawa sawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Dr Padre Slaa ni maarufu sana kwani pamoja na kuwa padre vile vile aliwahi kuwa katibu wa baraza la maaskofu Tanzania (TEC). sasa vigango vyote wanamfahamu na ni maarufu sana kanisani RC
 
Back
Top Bottom