CHADEMA Digital yaingia Kahama, ni umati wa kutisha

Sasa ni wazi kwamba Watanzania wamechoshwa na hali duni , na wala hawapigi kelele tena , hivi sasa ni vitendo tu .

Hebu angalieni wenyewe foleni ya Chadema Digital Kahama .

View attachment 1994738
Unasema "Hebu angalieni wenyewe foleni ya CHADEMA". Nimehesabu watu kwenye picha na kupata idadi ya watu 22. Nini cha ajabu kutokana na idadi hiyo?
 
Mimi nishaamuka mapema tu! Nyinyi nyumbu ndo mmape da kuamuka mmechelewa! Nakwambia hao sio watu wa kujisifu! Halafu nimewakumbusha tu! Bila kubadilika tabia zenu chafu za kuwatukana wasukuma mtaendelea kuwa wanaharakati! Wasukuma wana mikoa takribani sita wanayodominate! Endelea kujifariji! Hao kwenye foleni hapo zaidi ya robo tatu ni wasukuma ukiiingia humu unaanza kuwatukana!
Huna akili wewe mramba viatu
 
Back
Top Bottom